swala la muungano linahitaji busara za hali ya juu!!
This is my point mkuu ingawa wengi wameshindwa kunielewa kutokana na stereotype attitudes walizonazo dhidi ya wazanzibari na dharau zao wanasahau usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo.
swala la muungano linahitaji busara za hali ya juu!!
Mimi ningependa wa muungano, lakini muungano usio na unafiki, kelele na mayowe yasiyo na tija.
Kwasababu mnasisitiza busara basi ni vema tukaeleweshana ili sote tujue pro and cons. Hakuna sababu ya kufumbiana, mada ipo wazi.
Kelele za ZNZ zinakera sana, kila siku tunaonewa tunaonewa, wakoloni hao, majangili n.k. Sasa umebebwa mgongoni bado unarusha mateke na matusi, ah basi teremeka utembee mwenyewe.
Swali langu ni kuwa, Tanganyika inapoteza nini muungano ukivunjika? mimi nipo tayari kueleza Znz inapoteza nini. Sasa nawaomba kwanza niambieni Tanganyika ina lose nini.
Tusipotoshe mada eti Tanganyiaka ni Landlocked!!! who said that!
Mkuu kamuulize Uganda, Zambia, Rwanda and Burundi wanapata hasara kiasi gani kuwa a landlocked country??? Utajua kwanini nasema tutajuta.
Sisi misaada yetu anatupa nani? Je ni jambo zuri sisi kupewa au kuomba misaada lakini ni jambo baya wao kufanya?Mawazo yao yote yapo kwenye misaada toka kwa waarabu. Fanyeni kazi nyie!!! msiwaze waze misaada. Bure aghali
Mdondoaji,
..juu ya hayo, Mjerumani aliweka makao makuu ya serikali yake Bagamoyo. je, inayumkinika makao makuu ya serikali yakawa ktk ardhi ya kigeni[territory ya Sultani]?