Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa milele, atakayejaribu kuuvunja aminywe mapema sana

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,945
28,401
Wakuu.

Lazima tuulinde muungano wetu uilioizaa Tanzania haiwezekani kuvunja nchi maana naona watu wameanza chokochoko huku mitandaoni lakini kamwe lazima mkubali tulishaungana hakuna kutengana.

Atakaejaribu kuuvunja aminywe mapema sana wasilete siasa kwenye mambo ya Muungano.

Huu muungano ni wa milele.
 
Naunga Mkono hoja.

Yako Mambo ya Kuchezewa ila si hili.

HAPANA KWA KWELI.
HAPANA KWA KWELI.

HAYA SI MAMBO YA MASIKHARA. HAYA YANAWAKILISHA MASLAHI MAPANA YA WANANCHI WA TAIFA HILI.

Mapinduzi Daima.
 
Nawaza tu wapemba wanavyo zaana kwa kasi sijui muungano ukivunjwa na wao kua kama taifa itabid waliopo Bara warud kwao mbona kama itakua hatar
 
Nawaza tu wapemba wanavyo zaana kwa kasi sijui muungano ukivunjwa na wao kua kama taifa itabid waliopo Bara warud kwao mbona kama itakua hatar

Hakuna wa kuthubutu kuuvunja muungano huu ni wa milele
 
Watanganyika mna dhambi sn yani rais wa Zanzibar lazima nyie ndo muwaamulie????!!!!!

KWA NN MSIWAACHIE MAMBO YAO KM NCHI?
 
Nawaza tu wapemba wanavyo zaana kwa kasi sijui muungano ukivunjwa na wao kua kama taifa itabid waliopo Bara warud kwao mbona kama itakua hatar

SI KILA mpemba anataka muungano uvunjike. Hizo ni FIKRA potofu katika hadhara ya kiweledi km hii.

Mapinduzi Daima
 
Ahahaha! Huyo atakayevunja itabidi autenganishe na ule mchanga wetu.

Akachukue ule mchanga auchambue wa Tanganyika aweke sehemu yake na wa Zanzibar aweke sehemu yake kwanza hayupo wa kuuvunja muungano wetu
 
Tusidanganyane huu ni Muungano wa kisiasa tu mengine yote yanajitegemea

Jr
 
Watanganyika mna dhambi sn yani rais wa Zanzibar lazima nyie ndo muwaamulie??!!

KWA NN MSIWAACHIE MAMBO YAO KM NCHI?

Kwani Dodoma SI Kwao?!!!

Visiwa Havina Asili Ya Kukaliwa na WATU.

WOTE WAMETOKA HUKU BARA.

CCM kipekee inayakumbusha haya ya "Asili".
 
Back
Top Bottom