Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa milele, atakayejaribu kuuvunja aminywe mapema sana

Nawaza tu wapemba wanavyo zaana kwa kasi sijui muungano ukivunjwa na wao kua kama taifa itabid waliopo Bara warud kwao mbona kama itakua hatar
Kwani watu hawawezi kuishi ugenini?? Mbona Kuna wahindi tele Tz wakati hakuna muungano kati ya Tz na India?? And so are the Chinese, etc.

Afu, em nitajie faida moja tu ya hilo limuungano kwa Tanganyika. Ukweli Ni kuwa hakuna.
Acheni mawazo mgando
 
Unafikir wanakaa Bure
Pia unatakiwa ujue hata biashara hawato ruhusiwa kufanya bila vibal
 
Arovera,
Nashindwa kuelewa

Uamuzi huu si wako pekee yako,ni uamuzi wa wananchi wa nchi mbili na sio wewe.

Huwezi wapangia whats best for them,waache waamue wenyewe!
 
Unafikir wanakaa Bure
Pia unatakiwa ujue hata biashara hawato ruhusiwa kufanya bila vibal
Kwani sasa hv biashara wanafanya bila vibali?

Em kafungue biashara bila vibali uone Kama hutakabiliwa fasta na jiji, Tra, na mamlaka kadhaa husika
 
Tucheze na mengine sio muungano wetu huu ni wa milele
Una point nzuri, lakini kulirudia rudia hili neno 'milele', inakuwa kama unakajeli.

Miungano ipo iliyodumu na baadaye ikaja kufa kifo cha kawaida (eg: Usrr etc)na si ajabu.

Cha kushauri hapa ni kwamba, katika mustakabali wa suala lote hilo ni haki na usawa lazima viwekwe mbele.

Ukisema...'lazima milele'... bila kuwa na haki na usawa ni sawa na kuuzima moto kwa kuufukia kwenye majivu.
 
Back
Top Bottom