Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Kwani nani HASA aliutaka muungano?

1651732996602.png
 
Kwani wewe umeiwacha kamba yako ya Roho mtakatifu wako?
Ukitaka twende huko anzisha uzi wako utapewa daawa tu usihofu!
Huu uzi unahusu muungano!
Usimuharibie uzi wake!
Nimeaminia wahenga waliosema ashki majunun
 
Ukitaka twende huko anzisha uzi wako utapewa daawa tu usihofu!
Huu uzi unahusu muungano!
Usimuharibie uzi wake!
Nimeaminia wahenga waliosema ashki majunun
Mbona ulianza mwenyewe,au Roho mtakatifu wako alisahau?
 
Huo ndio ukweli.

Wakati wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kule Unguja walikuwa wameshaendelea na wanasiasa wa bara walikuwa wanaangalia TVZ halafu wanajifanya kuja kututabiria Watanganyika.

Kama yameungana mataifa mawili kwa maana ya nchi mbili basi mgao wowote kwa kile kinachopatikana wapaswa kuwa 50/50

Maendeleo hayana vyama!
Hujui madhara ya kauli yako,maana mgao haushii kwenye mapato tu, upo hadi kwenye madeni.
 
Back
Top Bottom