Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Mataifa mawili na si idadi ya watu. Kihalali mgao wowote ulitakiwa uwe 50/50

Nauliza wajuzi mnifahamishe!
Ikiwa Muungano Umekufa ghafla zenj Rais wake ataendelea kuwa Rais kwa Mujibu wa Katiba!
Jee Tanganyika Rais Atakuwa nani??
 
hakutakua na katiba ya jamhuri kila nchi itaunda katiba yake ivo iyo kwa mujibu wa katiba haitakuepo
 
Ningekuwa mimi ningependekeza kuwa na serikali moja Zanzibar isiwe na Rais wake. Angekuwepo Rais wa JMT na wakamu wawili wa Rais Tanganyika na Zanzibar.
La sivyo kuwe na Rais wa JMT ambaye ndiye kiongozi mkuu wa Muungano na Maraisi wa Tanganyika na Zanzibar ambao watamsaidia Rais wa JMT katika nchi zao.
 
Kuhusu mikopo ya nje kila 'mtu' atoke kivyake. Zanzibar akakope atakapo hali kadhalika Tanganyika akakope atakapo. Huu ndio ukweli ,Mungu ibariki Zanzibar,Mungu ibariki Tanganyikaaa.
 
Ningekuwa mimi ningependekeza kuwa na serikali moja Zanzibar isiwe na Rais wake. Angekuwepo Rais wa JMT na wakamu wawili wa Rais Tanganyika na Zanzibar.
La sivyo kuwe na Rais wa JMT ambaye ndiye kiongozi mkuu wa Muungano na Maraisi wa Tanganyika na Zanzibar ambao watamsaidia Rais wa JMT katika nchi zao.
Hii imekaa sawa tena vyema kabisa..shida kubwa na mkwamo wa nchi hii upo ccm.

Siku ikitolewa madarakani naamini hii nchi itafunguka sana.

Ccm wameinajisi hii nchi..kwa sasa sio tena ile chama cha ukombozi bali ni genge la walaghai.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwani zanzbar anachangia 50 kwa 50 kwenye uzalishaji wa mapato ya nchi? Maana hata shinyanga tu au katavi ina mapato makubwa kuliko zanzbar
 
Nani alikudanganya?
Wazanzibari walioko Uarabuni,Ulaya Na Marekani ni zaidi ya Laki 4 ikiwa kwa wastani wa dola 100 Tu kwa mwezi wanazoleta Zanzibar hizo ni dola 40 milioni kila mwezi Na ukija kwenye utalii kwa siku ni karibu dola Laki moja minimum. Pesa yote inakwenda Benki Kuu Tanganyika , Zanzibar haipati kitu labda hivi Sasa kwa kuwepo Samia tunapata hiyo 4 percent. Huu Si muungano ni uvamizi Na ukoloni wa Tanganyika
 
Still bado siyo 50 kwa 50 kwenye mchango wa taifa
 
Ikiwa Zanzibar inapewa 4 percent , Kuna 50 kwa 50 hapo ?

Bado mapato ya Benki kuu ambako pesa Za Zanzibar katika jumuiya ya Afrika Mashariki zilporwa Na Nyerere Na kuanzisha Benki kuu kwa ahadi ya kupewa 4 percentu kila mwaka Na kila mwaka hupewa 0 percent
 
Hata hio 4 ni nyingi Sana bwashee kulinganisha na wingi wa watu bara
 
Kwani mgao Si wa Nchi Na income ya Nchi , yaani Tanganyika inavyoinyonya Zanzibar Ni Kama Vile sio Nchi. Hivi huoni kuwa huu ni udhalimu ?
 
Back
Top Bottom