Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
ntarudi
Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha...
Attorney GeneralNdio nani.. kama mwanasiasa, si ajabu, ujue wanasiasa 99% ni wachumia tumbo.. wanasiasa malaya malaya, wananunulika.
Tumejisaliti WENYEWE KWA kukonda katiba mbovu!!huyo feleshi unamuonea!!Ujumbe wangu ni huo , Bwana Feleshi umetusaliti watanganyika wenzako. Au mnasemaje Watanganyika mliomo humu JF
Ndio wale wale malaya malaya, wananunulika kirahisi.Attorney General
kwenye hili sakata sijaona msimamo wako Mtani, au kama kawaida unaangalia upepo?Hujiulizi kwanini AG mstaafu Chenge hutetewa na Mawakili wazungu kutoka Ulaya na Marekani?
umemaliza kazi, asante kwa andiko lakoHujiulizi kwanini AG mstaafu Chenge hutetewa na Mawakili wazungu kutoka Ulaya na Marekani?
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar: Mambo ya Bandari Tanzania Bara na Zanzibar hawaingiliani kila upande unajitegemeakwenye hili sakata sijaona msimamo wako Mtani, au kama kawaida unaangalia upepo?
Huu ugonjwa umekuanza lini? Imeisha hiyo. ^Sssoooea hiyo sauti^ ~ in Francis Atwoli's voice.Napongeza matumizi ya neno "Watanganyika" msamiati unaokua kwa kasi kwa sasa kuliko kutumia neno "Watanzania".
Wenzetu visiwani ni ngumu sana kuacha neno ZANZIBAR au Mzanzibar ni ngumu kwa wao kujiita Mtanzania ila sisi tumeng'ang'ana na huo msamiati wa utanzania usio na faida huku tukisahau kuwa Tanganyika iliuawa mnamo tarehe 26/04/1964
Lazima Tanganyika yetu irudi kwa gharama zozote zile, sisi sio watanzania bara noo sisi ni watanganyika, sisi ni wazanzibar, hivyo ndivyo inavyopaswa kutumika
Ni kweli kabisa. Tukianza kubaguana hatutakaa tuache mpaka nchi isambaratike kabisa.Natoa tu angalizo
Maana naona Mjadala wa Tanganyika unashika kasi kana kwamba ni Jambo jema kumbe ndio kuharibu zaidi
Muungano ukivunjika na Bandari huna ndio itakuwa nini!!!
Kuweni wenye kutafakari!
cc: Daudi Mchambuzi- Machame
Usitutishe na propaganda za mwaka 1970,kama tumechokana kila mtu aishi kivyakeNatoa tu angalizo
Maana naona Mjadala wa Tanganyika unashika kasi kana kwamba ni Jambo jema kumbe ndio kuharibu zaidi
Muungano ukivunjika na Bandari huna ndio itakuwa nini!!!
Kuweni wenye kutafakari!
cc: Daudi Mchambuzi- Machame
ndiyo siku hao wanaochongachonga hapo Dar watatimuliwa maana Dar Es Salaam siyo kwao itabidi warudi kwao. Baba wa Taifa alisema ukiianza hiyo dhambi ya ubaguzi utambagua kila aliye karibu na wewe mwisho wa siku hautajua hata kwenu ni wapiNatoa tu angalizo
Maana naona Mjadala wa Tanganyika unashika kasi kana kwamba ni Jambo jema kumbe ndio kuharibu zaidi
Muungano ukivunjika na Bandari huna ndio itakuwa nini!!!
Kuweni wenye kutafakari!
cc: Daudi Mchambuzi- Machame