Muungano Wa NASA wamtangaza Raila Odinga kugombea Urais na Musyoka Makamu wa Rais

Ningekuwa nimesoma IT ningehack matokeo ya Kenya ili Raila Amollo Odinga ashinde nafasi ya Urais!
 
Uhuru in Kajiado, things are heating up, the politics of this year is very difficult to predict
C-llR0KXUAA6JKR.jpg
 
Wasiwasi wangu ni hawa behind the scenes backers ambao wamekua na Raila tangu 2007 wakimpa pesa za maana ili kuedesha campaign zake...sasa hawa akifanikiwa kupata huo Uraisi watahakikisha pesa zote zinarudi...kwa mfano S.K Macharia wa Citizen TV ni mmoja wa hawa watu...siasa za Kenya zinaedeshwa na ma kitchen cabinet wenye maslahi binafsi na ndio maana pesa itatumika kwa mabilioni kutoka kwao wakitegemea kuja kuvuna baada ya ushindi...cartel are realy development parasite na watakua kila wizara kuvuna tenders...kwangu naona Uhuru angemaliza tena miaka hii mitano ila ajiongeze tena sana kutatua kero za rushwa kwenye idara za serikali na kuangamiza hizi cartels kabisa...
RAO ni jembe ambalo knows nonsense. Wakenya wakipoteza hii nafasi wasiende kumtafuta mchawi, wachawi watakuwa wao wenyewe.
 
hahahahaha vituko tupu
Ni zaidi ya vituko, wapo tayari kubadili Katiba ili mradi wapate nafasi za ushawishi wa mamuuzi serikalini na pia waweze kupata kulipwa na kupata huduma zingine hata baada ya kung'atuka endapo watashinda...ni aibu sana jamani
 
Shida ya Kenya ni makabila. Raila ana nafasi kwa sababu mwaka uliopita mudavadi hakuwepo kwenye muungano wao sasa ameongeza nguvu.

Upo sahihi
na hili ndio miongoni mwa mambo yanayo mtisha Uhuru,
Lakini naona bado Jamaa Yupo sawa

2012 uhuru kenyatta alishinda moja kwa moja bila round ya pili, na hapo raila na mudavadi walikuwa ni wagombea pia, so inamaana ilikuwa ukijumulisha kura za raila na mudavadi + peter keneth, dida na wengine wote waliogombea ni bado zilikuwa hazifikii idadi ya kura za uhuruto. hivyo basi mudavadi hana impact yoyote kwa uhuruto
 
NASA kwa kumteua RAILA tayari wameshindwa uchaguzi.
UHURU RUTO ni mpaka 2022, na hapo Ruto anaweza nae bahatisha depending na candidate(s) wa opposition
 
Kwa vile Rift Valley ndio nyumbani kwa Ruto na amejijenga kisiasa kwa muda mrefu kunakipa chama cha Jubilee nafasi na pia Raisi Mstaafu Moi anatokea huko na amemwidhinisha Uhuru kwa mara nyingine,yeye pia ana ushawishi, Kikuyu + Kalenjins ni bonge la support kwa Uhuruto na pia uchaguzi ujao mpango ni Uhuru amwachie Ruto awe raisi so kwa kifupi pia Ruto ni president in waiting...so indicators za kuwa favour hawa wawili ni nyingi, wakipata kura za Rift Valley na Central aafu wadokoe kwa Waluhya hapo watakua wamejipa nafasi zaidi, ICC walishdwa kuwazima uchaguzi uliopita na wakenye wakaona ni bora wao waedeshe nchi kwa Skyp kuliko CORD...so pia awamu hii watakua na mbinu mbadala...kazi ipo
Uchanganuzi wako haujazingatia vigezo vingi, Kenya ni kubwa na ina makabila karibu 43,, Mwaka 2013, kulikuwa na figisu figusi sana, na ukumbuke ule msemo maarufu wa Odinga, "Democracy is on trial" Ni wakati ule alipopeleka kesi Mahakama ya juu ya Kenya akipinga matokeo ya Uchaguzi(Supreme Court of the Republic of Kenya),, Mahakama hiyo ilikuwa inaongozwa na Willy Mtunga( Jaji Mkuu Mvaa heleni,sikio moja) Kesi ile ni kweli Kenyatta alishinda lakini iliacha makandokando mengi sana,,,Kumbuka Mahakama ilikataa viapo vya kina Raila Odinga pages 800 kwa kisingizio kwamba vilitakiwa kuambatanishwa kwenye Election Petition. Raila alikubali uamuzi wa Mahakama lakini uamuzi ule haukuiacha mahakama ya Kenya salama na huru tena,,,,Baadaye ilibidi Jaji Mkuu Willy Mtunga alijiuzulu kabla ya Muda wake,, Pia ile Tume Huru ya uchaguzi chini ya Issack Hassan,nayo ilibidi iondolewe madarakani kwani watu hawakuridhika na namna ilivyoendesha uchaguzi wa 2013. Mambo mawili ni wazi hapa, Uchaguzi wa 2013 uliharibiwa makusudi ili kumpa ushindi Uhuru Muigai Kenyatta, Pili ukiacha ICC Agenda kutumika kikampeni na kuwavuta makabila mawili makubwa kuwapigia kura William Rutto na Uhuru Kenyatta,Vyombo vya uchaguzi Tume na Mahakama vilikuwa compromised. Kwaiyo uchaguzi wa 2013 pamoja na matokeo yake hayakuwa credible(Haukuwa huru na wa haki).

Kuhusu sasa, Ni wazi ukiangalia siasa za kenya na Katiba ya Kenya ya Mwaka 2010, Mgombea wa uraisi anatakiwa kushinda kura asilimia 50 plus one vote,,
kwa namna NASA walivyojipanga sasa si rahisi kusema eti wakina Uhuru Muigai kenyatta watashinda.

Kuna sababu nyingi kama ifuatavyo
  1. Kenyatta na Rutto wanaingia kwenye uchaguzi huu kwa sasa wakitokea madarakani,, yaani incumbency , kwaiyo kuna kashfa nyingi zimetokea wengi watawahukumu kama watawala.
  2. Kenyatta na Rutto hawana yale mazingira ya kwamba wanaonewa ndiyo maana wao wameshtakiwa na ICC(Agenda ya ICCiliyowavuta watu wao wengi kuwapigia kura haipo tena.
  3. Rift valley siyo wamoja tena katika kumpigia kura Kenyatta, South Rift kunapotekea Kipsigis Subtribe la Wakalenjin wengi hawaiungi mkono sana Jubilee kwama ilivyokuwa mwanzo sababu wanaona kwamba wao hawakupata fursa sana katika utawala huu wa Kenyatta,, kwamba wengi waliopewa nafasi ni watu wa North Rift,, hasahasa Nandi sabtribe anakotoka William Ruto Mkamu wa Raisi,, Ndio maana chama cha Mashinani cha Governor wa Bomet Issack Rutto ,, aliyekuwa Jubilee kimejiunga kwenye Muungano wa NASA. Na Issack Rutto ni mmoja wa Pentagon Members ya NASA.
  4. NASA imekuja kivingine sasa si kipindi kile cha CORD, Musalia Mudavadi mtu wa Vihiga na Moses wetangula wa Kakamega Western kwa waluya wameunganisha nguvu na kujiunga na NASA,,Haijawahi kutokea Waluya second biggest tribe kujiunga pamoja kama sasa. Mwaka 2013 Musalia Moses mudamba Mudavadi aligombea Uraisi chini ya Amani Congress na hivyo alipelekea kugawa kura.
  5. Kuna sehemu wanayotoka Wameru, kipindi kile 2013 Jubilee ilipata karibu kura zote,, miaka ya Karibuni NASA, imeingia vya kutosha huko... Governor PETER Munya PNU, amemkaribisha sana Odinga huko na ku make inroads kwenye Ngome ya Jubilee.
  6. Kisii yaani wakisii wengi sana wameingia NASA Yaani pia ODM, Kuliko ilivyokuwa 2013.
  7. Turkana nao wameingia nasa sana kuliko wakati ule
  8. Wamasai wengi pia wamakuwa NASA zaidi kuliko Jubilee,, na hawa wmasai pia wanapatikana Rift Valley.
  9. Pia watu kama Chirau Mwanakwere wa kutoka kaunti ya Kwale( Kwale inapakana na Tanzania kweney mpaka wa Horohoro,, na Lungalunga kwa Kenya) naye yupo NASA alikuwa JUBILEE mwaka 2013.
  10. Ngome za NASA zipo intack, wakati za JUBILEE zimepungua Nguvu UKIACHA central kwa wakikuyu. Ngome za NASA ni Ukambani(Wakamba), Nyanza (Wajaluo), Coast pwani,(Mijikenda,swahili na Arabs), Western (Waluya), Kisii( Wakisii)
  11. Mwisho sasa kunarefaree mpya,yaani Tume ya Uchaguzi mpya, pia, kuna Amri ya Mahakama kwamba matokeo ya constituency ni final,, tume haiwezi kubadlisha matokea ya Urais yaliyotangazwa kwenye jimbo la uchaguzi hadi kwa amri ya Mahakama,, hii itaondoa Room ya udanganyifu pale Kenyatta International conference centre.
KWAIYO NASA WANANAFASI KUBWA KUSHINDA UCHAGAUZI WA SASA 2017/08/08 KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE UKIONDOA 2007.
 
Kazi ipo kwa kweli, hawa NASA bana naona hivyo vyeo kama itakua mzigo kwa walipa kodi, maana si itabidi waedelee kulipwa hata kama hawatarudi 2022 incase wakipata 2017...alafu huyi Raila tangu marehemu Babake mpaka leo hajapata tu jamaa angebadili mwelekeo au akiwekeze kwa wengine kama akina Mudavadi...wanasiasa wa Afrika hua sina amani nao maana wanakua na maslahi zaidi ya kibanfsi kuliko ya nchi, angalau Magufuli amekua wa tofauti na waliomtangulia...kama NASA wakiweka ukabila, hila, n.k pembeni basi nchi itakua poa sana...nashukuru kwa ufanunuzi wako
 
Mohammed Dida mbona mnamtoa kwenye mjadala

Huyu Jamaa atatisha sana safari hii
 
Uchanganuzi wako haujazingatia vigezo vingi, Kenya ni kubwa na ina makabila karibu 43,, Mwaka 2013, kulikuwa na figisu figusi sana, na ukumbuke ule msemo maarufu wa Odinga, "Democracy is on trial" Ni wakati ule alipopeleka kesi Mahakama ya juu ya Kenya akipinga matokeo ya Uchaguzi(Supreme Court of the Republic of Kenya),, Mahakama hiyo ilikuwa inaongozwa na Willy Mtunga( Jaji Mkuu Mvaa heleni,sikio moja) Kesi ile ni kweli Kenyatta alishinda lakini iliacha makandokando mengi sana,,,Kumbuka Mahakama ilikataa viapo vya kina Raila Odinga pages 800 kwa kisingizio kwamba vilitakiwa kuambatanishwa kwenye Election Petition. Raila alikubali uamuzi wa Mahakama lakini uamuzi ule haukuiacha mahakama ya Kenya salama na huru tena,,,,Baadaye ilibidi Jaji Mkuu Willy Mtunga alijiuzulu kabla ya Muda wake,, Pia ile Tume Huru ya uchaguzi chini ya Issack Hassan,nayo ilibidi iondolewe madarakani kwani watu hawakuridhika na namna ilivyoendesha uchaguzi wa 2013. Mambo mawili ni wazi hapa, Uchaguzi wa 2013 uliharibiwa makusudi ili kumpa ushindi Uhuru Muigai Kenyatta, Pili ukiacha ICC Agenda kutumika kikampeni na kuwavuta makabila mawili makubwa kuwapigia kura William Rutto na Uhuru Kenyatta,Vyombo vya uchaguzi Tume na Mahakama vilikuwa compromised. Kwaiyo uchaguzi wa 2013 pamoja na matokeo yake hayakuwa credible(Haukuwa huru na wa haki).

Kuhusu sasa, Ni wazi ukiangalia siasa za kenya na Katiba ya Kenya ya Mwaka 2010, Mgombea wa uraisi anatakiwa kushinda kura asilimia 50 plus one vote,,
kwa namna NASA walivyojipanga sasa si rahisi kusema eti wakina Uhuru Muigai kenyatta watashinda.

Kuna sababu nyingi kama ifuatavyo
  1. Kenyatta na Rutto wanaingia kwenye uchaguzi huu kwa sasa wakitokea madarakani,, yaani incumbency , kwaiyo kuna kashfa nyingi zimetokea wengi watawahukumu kama watawala.
  2. Kenyatta na Rutto hawana yale mazingira ya kwamba wanaonewa ndiyo maana wao wameshtakiwa na ICC(Agenda ya ICCiliyowavuta watu wao wengi kuwapigia kura haipo tena.
  3. Rift valley siyo wamoja tena katika kumpigia kura Kenyatta, South Rift kunapotekea Kipsigis Subtribe la Wakalenjin wengi hawaiungi mkono sana Jubilee kwama ilivyokuwa mwanzo sababu wanaona kwamba wao hawakupata fursa sana katika utawala huu wa Kenyatta,, kwamba wengi waliopewa nafasi ni watu wa North Rift,, hasahasa Nandi sabtribe anakotoka William Ruto Mkamu wa Raisi,, Ndio maana chama cha Mashinani cha Governor wa Bomet Issack Rutto ,, aliyekuwa Jubilee kimejiunga kwenye Muungano wa NASA. Na Issack Rutto ni mmoja wa Pentagon Members ya NASA.
  4. NASA imekuja kivingine sasa si kipindi kile cha CORD, Musalia Mudavadi mtu wa Vihiga na Moses wetangula wa Kakamega Western kwa waluya wameunganisha nguvu na kujiunga na NASA,,Haijawahi kutokea Waluya second biggest tribe kujiunga pamoja kama sasa. Mwaka 2013 Musalia Moses mudamba Mudavadi aligombea Uraisi chini ya Amani Congress na hivyo alipelekea kugawa kura.
  5. Kuna sehemu wanayotoka Wameru, kipindi kile 2013 Jubilee ilipata karibu kura zote,, miaka ya Karibuni NASA, imeingia vya kutosha huko... Governor PETER Munya PNU, amemkaribisha sana Odinga huko na ku make inroads kwenye Ngome ya Jubilee.
  6. Kisii yaani wakisii wengi sana wameingia NASA Yaani pia ODM, Kuliko ilivyokuwa 2013.
  7. Turkana nao wameingia nasa sana kuliko wakati ule
  8. Wamasai wengi pia wamakuwa NASA zaidi kuliko Jubilee,, na hawa wmasai pia wanapatikana Rift Valley.
  9. Pia watu kama Chirau Mwanakwere wa kutoka kaunti ya Kwale( Kwale inapakana na Tanzania kweney mpaka wa Horohoro,, na Lungalunga kwa Kenya) naye yupo NASA alikuwa JUBILEE mwaka 2013.
  10. Ngome za NASA zipo intack, wakati za JUBILEE zimepungua Nguvu UKIACHA central kwa wakikuyu. Ngome za NASA ni Ukambani(Wakamba), Nyanza (Wajaluo), Coast pwani,(Mijikenda,swahili na Arabs), Western (Waluya), Kisii( Wakisii)
  11. Mwisho sasa kunarefaree mpya,yaani Tume ya Uchaguzi mpya, pia, kuna Amri ya Mahakama kwamba matokeo ya constituency ni final,, tume haiwezi kubadlisha matokea ya Urais yaliyotangazwa kwenye jimbo la uchaguzi hadi kwa amri ya Mahakama,, hii itaondoa Room ya udanganyifu pale Kenyatta International conference centre.
KWAIYO NASA WANANAFASI KUBWA KUSHINDA UCHAGAUZI WA SASA 2017/08/08 KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE UKIONDOA 2007.
Mkuu kula like nyingine...... uchambuzi bora zaidi kwenye uzi huu so far..... BIG UP
 
Tunawaombea kila la kheri majirani wetu, uchaguzi umalizike salama wasalimini.
 
Inanisikisha kuona yanayoshamiri Kenya ktk kuakisi ushindi ni Ukabila, bora hata ingelikuwa ni ukanda. Kwahiyo mkikuyu wa Mombasa hatojali matakwa ya wakazi wa Mombasa. Demokrasia Afrika...
 
Back
Top Bottom