Muungano ni Mzigo mzito. Dösari za mwalimu zimetufikisha hapa?

  • Thread starter William Mshumbusi
  • Start date

William Mshumbusi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Messages
904
Likes
48
Points
45
Age
35
William Mshumbusi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2012
904 48 45
Kuwa na selikali tatu ni kuweka mzigo mkubwa wa kuwa na viongozi wengi mno na mawaziri wengi na bora uvunjwe tu.

Tanganyika bora tudili na kujenga tanganyika yetu kuliko na kuwaza tanganyika na muungano wakati tupo nyuma kweli.
Dosari za mwalimu JK ZA kuweka serikali mbili zilikusudia kulenga yeye kutawala muungano milele ila akang'atuka baada ya ujamaa alioupigania toka awali kufa miaka ya themanini

na karume kuendelea kubaki na uraisi wake wa zanzibar ambao kimsingi ni kama wa kupewa na kusimamiwa na tanganyika wakati huo kwani siye aliyeongoza mapinduzi.
Uwoga wa mwalimu wa vibaraka kutoka magharibi.

Múungano ni wa selikali moja
 

Forum statistics

Threads 1,273,821
Members 490,485
Posts 30,493,075