Crap...
Kama Wanzanzibar wanaamini hivyo basi tuwaache wajitafutie maendeleo yao kivyao, kwa nini tunawalazimisha Wazanzibar na kuwa nasi kwenye Muungano, why?ni kweli muungano ndo chanzo cha umasikini????
hivi ni kweli kabla ya muungano zanzibar ilikuwa nchi ya pili africa kwa kipato cha mwananchi?
nini kilitokea?
ni kweli muungano ndo chanzo cha umasikini????
how?????????