Muungano kuuvunja yakupasa kwanz kuchimba kaburi lako!

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,600
12,218
Muungano wetu haukuandikwa kwenye makaratasi, wala kufungwa ktk mikataba kama ya mafuta au gas. Muungano wetu ni moja ya muungano ambao watu walichukua mchanga kutoka pemba unguja wakaja kuchanganya na mchanga wa tanganyika, hilo likaonekana halitosh dam ikachukuliwa kama ndio maji kuchanganya mchanga.
Huu ni muungano wa aina yake ambao watu kutoka mbali wanakuja kuusoma nakuandikia report ilikupata u Dk mpaka u prof. Mungano wa bina ya bara na visiwani ulisukwa na watu ambao walijuwa ipo siku watainuka mamluki pitia vyama vya upinzan au ndan ya chama tawala watakao taka huu muungano uvunjwe.
Ukweli mchungu ambao mim nawewe hatu ujuwi ni kwamba hakuna kiongoz awaye yeyote iwe bara au visiwan anaweza kupanga nakufanikisha kuuvunja muungano bila kuwa ktk scan za Tiss pamoja na secret agent ktk vikosi maalum vya Rais.
Muungano huu upo ktk tunu zetu za kitaifa yani unapaswa kuenziwa kuanzia kizaz chetu mpaka cha mwisho. Watu weng wanadhan eti kuvunja muungano ni njia rahisi kama ilivyo kuwa wakati wamapinduzi. Jambo ambalo sio kweli.
Jambo zito kuliko yote hakuna kiongoz awaye yoyote anaweza kuiongoza dola au kuwa ofisa ndan ya serikal asie apa kuulinda muungano. Jambo hili huwa linamsaidia rais na majeshi ku act ktk kila kiashiria cha kuvunja muungano kama sehem ya kiapo chao chakuulinda na kuuenzi muungano.

Yale yanaendelea hivi sasa kule Zanzibar ni sawa na kuku alie katwa kichwa bilashaka kiwili wili lazima kirukeruke huku nakule ktk roho kutoka ila mwisho kitapoa.

Upo msemo unasema bora kuamini Mungu yupo ukatenda mema ili siku moja umuone, kuliko kuishi ktk maisha mabaya hapa duniani alafu ukakutana naye bila shaka utalia sana.
Ndugu zangu tanganyika,waunguja na wapemba mtu mbaya kati yetu sio ccm wala cuf. Mtu mbaya kati yetu ni mtu alie ingia ndani ya chama akiwa na ajenda ya siri kutugawa huyu ndio mtu mbaya. Zanzibar chuki inaenezwa na watu wabaya ndani ya vyama ili kutimiza maazimio yao mabovu na yakiuhaini. Watu hao wapo na kama sio serikali tiifu ya ccm kusimamia masilahi ya umoja wetu kama taifa Zanzibar ingeshakuwa mahali hatari kuishi.

Chama cha cuf ni bora wajitathimin sasa kama wenzao ccm nakujuwa wapi wameanguka ili wasianguke tena. Wanachama wa cuf na vyama vingine vya upinzani wakumbuke yalio wakuta wanachama wa brother hood. Chama kilicho itikisa misri na misri ikatikisika leo historia yake ipo kwenye mavumbi. Hakuna mtu aliamin brother hood siku moja kitapewa dola na kunyang'anywa dola pia nakupigwa black list. Leo hakuna chama aina ya brother hood uko misri.

Nini yatupasa kujifunza ktk hili. Somo kubwa hapa nivyama vya siasa kufanya kazi za siasa nasio kuwa makuadi wa wa ajenda za siri ambazo zaweza leta mtikisiko mkubwa wa aman yetu. Vyama vikubwa kama chadema au cuf wakifikiri eti kwakuwa wana wanachama wengi basi wanaweza kueneza chuki kwa wananchi dhidi ya serikal yao alafu waendelee kuwa na vyama vyao huo niulimbuken. Itafika mahali watu watasema tufute vyama vinavyo eneza chuki,fitina,ukabila, ubara na uvisiwan, uongo na uchonganishi vifutwe. Vitafutwa mchana kweupe na viongoz wote piga black list tafuten mataifa yakwenda kuishi. Amani yetu tulio ipata kwa shida nying tungependa watoto wetu, wajukuu,vituku na vilembwe waikute.
Kutokana na haya maneno ndio maana nasema unapowaza kuvunja muungano pia kumbuka kujichimbia kaburi lako maana hakuna mtu atakubali uharibu aman ya taifa hili teule Tanzania. Shime Dk Magufuli na Dk Shein. Hapa kazi tu, siasa majitaka huko...
 
Ungebaki kua netural kama aya za mwazo hapo bila shaka kila mdau angetafakali kwa kina zaidi.... Lakini umekuja kuharibu mwishoni baada ya kuonesha wewe ni kada wa chama flani... Huo ni ujinga na umasikini wa fikra.
 
Mkuu kwa wenye akili tofauti na unavyofikiri tumemwelewa vizuri sana mtoa mada na ana maana kubwa sana. Na kwa mtu asiyetafakari kwa kina maandishi aliyoweka mleta mada ataishia kutukana kama ulivyofanya wewe.
 
Muungano wetu haukuandikwa kwenye makaratasi, wala kufungwa ktk mikataba kama ya mafuta au gas. Muungano wetu ni moja ya muungano ambao watu walichukua mchanga kutoka pemba unguja wakaja kuchanganya na mchanga wa tanganyika, hilo likaonekana halitosh dam ikachukuliwa kama ndio maji kuchanganya mchanga.
Huu ni muungano wa aina yake ambao watu kutoka mbali wanakuja kuusoma nakuandikia report ilikupata u Dk mpaka u prof. Mungano wa bina ya bara na visiwani ulisukwa na watu ambao walijuwa ipo siku watainuka mamluki pitia vyama vya upinzan au ndan ya chama tawala watakao taka huu muungano uvunjwe.
Ukweli mchungu ambao mim nawewe hatu ujuwi ni kwamba hakuna kiongoz awaye yeyote iwe bara au visiwan anaweza kupanga nakufanikisha kuuvunja muungano bila kuwa ktk scan za Tiss pamoja na secret agent ktk vikosi maalum vya Rais.
Muungano huu upo ktk tunu zetu za kitaifa yani unapaswa kuenziwa kuanzia kizaz chetu mpaka cha mwisho. Watu weng wanadhan eti kuvunja muungano ni njia rahisi kama ilivyo kuwa wakati wamapinduzi. Jambo ambalo sio kweli.
Jambo zito kuliko yote hakuna kiongoz awaye yoyote anaweza kuiongoza dola au kuwa ofisa ndan ya serikal asie apa kuulinda muungano. Jambo hili huwa linamsaidia rais na majeshi ku act ktk kila kiashiria cha kuvunja muungano kama sehem ya kiapo chao chakuulinda na kuuenzi muungano.

Yale yanaendelea hivi sasa kule Zanzibar ni sawa na kuku alie katwa kichwa bilashaka kiwili wili lazima kirukeruke huku nakule ktk roho kutoka ila mwisho kitapoa.

Upo msemo unasema bora kuamini Mungu yupo ukatenda mema ili siku moja umuone, kuliko kuishi ktk maisha mabaya hapa duniani alafu ukakutana naye bila shaka utalia sana.
Ndugu zangu tanganyika,waunguja na wapemba mtu mbaya kati yetu sio ccm wala cuf. Mtu mbaya kati yetu ni mtu alie ingia ndani ya chama akiwa na ajenda ya siri kutugawa huyu ndio mtu mbaya. Zanzibar chuki inaenezwa na watu wabaya ndani ya vyama ili kutimiza maazimio yao mabovu na yakiuhaini. Watu hao wapo na kama sio serikali tiifu ya ccm kusimamia masilahi ya umoja wetu kama taifa Zanzibar ingeshakuwa mahali hatari kuishi.

Chama cha cuf ni bora wajitathimin sasa kama wenzao ccm nakujuwa wapi wameanguka ili wasianguke tena. Wanachama wa cuf na vyama vingine vya upinzani wakumbuke yalio wakuta wanachama wa brother hood. Chama kilicho itikisa misri na misri ikatikisika leo historia yake ipo kwenye mavumbi. Hakuna mtu aliamin brother hood siku moja kitapewa dola na kunyang'anywa dola pia nakupigwa black list. Leo hakuna chama aina ya brother hood uko misri.

Nini yatupasa kujifunza ktk hili. Somo kubwa hapa nivyama vya siasa kufanya kazi za siasa nasio kuwa makuadi wa wa ajenda za siri ambazo zaweza leta mtikisiko mkubwa wa aman yetu. Vyama vikubwa kama chadema au cuf wakifikiri eti kwakuwa wana wanachama wengi basi wanaweza kueneza chuki kwa wananchi dhidi ya serikal yao alafu waendelee kuwa na vyama vyao huo niulimbuken. Itafika mahali watu watasema tufute vyama vinavyo eneza chuki,fitina,ukabila, ubara na uvisiwan, uongo na uchonganishi vifutwe. Vitafutwa mchana kweupe na viongoz wote piga black list tafuten mataifa yakwenda kuishi. Amani yetu tulio ipata kwa shida nying tungependa watoto wetu, wajukuu,vituku na vilembwe waikute.
Kutokana na haya maneno ndio maana nasema unapowaza kuvunja muungano pia kumbuka kujichimbia kaburi lako maana hakuna mtu atakubali uharibu aman ya taifa hili teule Tanzania. Shime Dk Magufuli na Dk Shein. Hapa kazi tu, siasa majitaka huko...
Hili swala halitakiwi kutazamwa kwa macho na maslahi ya CCM. Hapo ndio makada wa Lumumba mnapokosea. Waachieni wananchi ambao baada ya miaka hamsini wana uwezo mkubwa wa kufanya tafakari wapi pa kuimarisha kwa maslahi yao. Vitisho unavyotoa kwa watz vinazidi kutufanya tuwe na shaka na malengo yenu kwa usitawi wa nchi hii. Katiba safi inayotokana na mahitaji yenye maslahi ya kweli ya watz ndio itawezesha kudumisha muungano huu. Majeshi yetu hayafikii nguvu ya majeshi ya USSR, yaliyokuja kushindwa kulazimisha namna yao ya muungano. Watu tunaupenda muungano kwa namna yetu tofauti na yenu wachumia tumbo. Uzi wako ungeweza kuwa wenye mwelekeo wa kimaendeleo kama usingepuuza haki na maslahi ya mtz.
 
Back
Top Bottom