Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,632
- 218,060
kijana ni lazima uwe mwangalifu sana na haya maswali yako , utasababisha Mtikisiko wa muungano !
Wanajamvi kila mara hotuba zinazohusu muungano ni za mwl Jk Nyerere,je karume hakuwahi kuzungumzia muungano!
Kama kuna mwenye hotuba za mh.Karume atuwekee.na je kuna sababu gani kutoweka hotuba hizo kwenye vyombo vya habari!
Nikiangalia wakati wa kuchanganya mchanga naona karume anapiga makofi tu ! Hii inamaanisha nini;
-kulazimishwa?
-kuridhika au
-woga ?

...hipo mmoja aliitoa mwaka jana kwenye mkutano mkuu wa chama chetu kupitia mtoto wake{Amani Karume raisi msthafu}...inafahamika kwa jina maarufu "wajumbe wa ccm mnavichwa kama samaki"...
Hakuna suala la uangalifu katika hili, kwani historia lazima ionyeshe ni jinsi gani na kwa kiasi gani wazee hao walivyokuwa wana uangalia muungano wao, kwani wametuachia fujo sasa hivi. Istoshe muungano ni miaka kumi tu hii minginge nani kaaongeza.
Ni vuzuri tukajadili kwa kumbukumbu zaidi na takwimu badala ya kuandika mada bila kujiridhisha na ukweli wa mada yenyewe. Karume alifariki mwaka gani? hotuba nyingi za Nyerere ni za kuanzia mwaka gani, je Karume angetoka Kaburini aje kuhutubia? Lakini kubwa tutambue kuwa Nyerere alikuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Karume rais wa Zanzibar, ingekuwa rais wa Zanzibar ahutubie maswala ya muungano wakati rais wa SMT yupo. Hivi ulishasikia Shein amekuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za Muungano?
Just do some analysis before arguing my dear. Hakuna sababu yoyote ya kutaka kuupotosha Umma bila sababu yoyote ya msingi.
Huko kwenu kuna giza nini, mbona kama uko gizani vile.

Una akili sana. Mungu akubariki kwa majibu haya murua. Long live nyerere na karume.Ni vuzuri tukajadili kwa kumbukumbu zaidi na takwimu badala ya kuandika mada bila kujiridhisha na ukweli wa mada yenyewe. Karume alifariki mwaka gani? hotuba nyingi za Nyerere ni za kuanzia mwaka gani, je Karume angetoka Kaburini aje kuhutubia? Lakini kubwa tutambue kuwa Nyerere alikuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Karume rais wa Zanzibar, ingekuwa rais wa Zanzibar ahutubie maswala ya muungano wakati rais wa SMT yupo. Hivi ulishasikia Shein amekuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za Muungano?
Just do some analysis before arguing my dear. Hakuna sababu yoyote ya kutaka kuupotosha Umma bila sababu yoyote ya msingi.
Una akili sana. Mungu akubariki kwa majibu haya murua. Long live nyerere na karume.