Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,466
- 113,543
Wanabodi,
Ili kuyachambua kwa kina yaliyojiri Zanzibar objectively, naombeni sana tutumie "nguvu za hoja" na sio " hoja za nguvu".
Nilitamani topic hii ningeianzisha kule jukwaa la "great thinkers" ili ma great thinkers wa lever za kina Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Mkandala and the like wazame ndani more objectively, nikajikuta kwa vile mimi si belong huko, nimeona ni bora nianzishie hapa ili sisi wa kawaida tufumbuliwe macho!.
The motive behind uchomaji wa makanisa, is it really a pressure group dhidi ya kuuhadili muungano, au vitendo vya kigaidi kama vinavyofanywa na Boko Haram, Al Shababi, Al Qauda na Taleban?.
Jee ni kweli kikundi cha Uamsho ndio kiko behind matukio haya, au ni ploy ya CCM kuwazima Uamsho ili wasiidai haki yao ya kuitaka Zanzibar yao, hivyo ni wao wamefanya ugaidi ule ili Uamsho wageuziwe kibao, ili kikundi hicho kipigwe marufuku na Zanzibar kuendelea kuburuzwa katika muungano ulivyo sasa?.
Hivi kiukweli sababu zilizoufanya muungano ufanyike in such a rush, bado zipo mpaka leo?, kama hazipo, kuna ubaya gani tukiujadili muungano huu kwa marefu na mapana na tukapewa fursa kuupigia kura kama tunautaka na tukiutaka ni muungano wa aina gani?, na kama walio wengi hawautaki kwa nini kuwalazimisha?.
Hivi kati ya bara na visiwani, nani anauhitaji zaidi muungano huu dhidi ya mwenzie?.
Jee tufike mahali tukabali "mtoto akililia wembe tumpe?!.
Pasco!.