Muungano Day: Ujenzi wa barabara ya "Muungano" umeanza?

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,386
Leo ikiwa ni siku ya Muungano ni vema basi tungejua kama Ujenzi wa ile barabara ya Mwanza iliyopewa heshima ya kujengwa kwa fedha za sherehe za Muungano umeanza - na mlio Mwanza tuwekeeni picha za hiyo barabara hapa!
 
Back
Top Bottom