Muungano au mgongano au mchafuano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano au mgongano au mchafuano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by miftaah, Jun 1, 2012.

 1. miftaah

  miftaah Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa muungano huu sisi wazanzibari hatuutaki, tunautaka muungano wenye faida kwa pande zote mbili...Na tuna sababu za kusema kuwa muungano huu wazanzibari hatuutaki, watakaonuna na wanune ila tutazidi kusema kua muungano huu hatuutakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na kma kuvunjika na uvunjike maana sio faradhi kuwa nao
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Unaweza kutoa mifano michache ya namna msivyofaidika (zanzibar) na namna tunavyofaidika (watanganyika) na huo muungano??
   
Loading...