Muundo wa Utumishi wa Wahandisi watakaofundisha shule za ufundi sekondari

langaji

Member
Aug 9, 2013
45
39
Jamani mambo mengi, muda mchache.

Naombeni kujuzwa scale sahihi wanayotakiwa kulipwa wahandisi walioajiriwa na TAMISEMI kwenda kufundisha shule za ufundi sekondari mwaka 2021
 
Kwani Engineer ni mwalimu? Kuna mkanganyiko. Wakati wa kujaza taarifa za ajira, baadhi ya maafisa utumishi wamesema sehemu ya mshahara iachwe kwanza. Wengine wamejaza TGTS D wengine E.
 
Inaonekana hukusoma vizuri lile tangazo la tamisemi...litafute usome vizur unajiriwa kama mwalimu na utalipwa kama mwalimu
 
inaonekana hukusoma vizuri lile tangazo la tamisemi...litafute usome vizur unajiriwa kama mwalimu na utalipwa kama mwalimu
Kwani kuajiriwa kama mwalimu ina uhusiano gani na ngazi ya mshahara. Kwani hakuna walimu wanaolipwa ngazi E
 
Sheria ipi unaizungumzia wewe?
Sema kwa mfumo wa kinyonyaji mhandisi analipwa kwa TGS E ambapo within same government Askari wa NGORONGORO analipwa mpaka milioni 2.
Kuajiriwa Tamisemi na uinjinia kichwani ni kukosa maarifa au uoga.
Kila taasisi ina mishahara yake. Tunazungumzia Tamisemi achana na Ngorongoro
 
Kwani kuajiriwa kama mwalimu ina uhusiano gani na ngazi ya mshahara. Kwani hakuna walimu wanaolipwa ngazi E
ngoja utaona usisahau kuleta mrejesho hapa ...
walimu wanaolipwa hiyo E walianza D na hao engineer watajiriwa kwa D hiyohiyo.....mimi nimesoma shule ya tech na masomo ya civil, drawing, architecture, n.k yalikuwepo nakufahamu walikuwa as per teachers scale
 
Sio hoja kwamba kusoma miaka mingi ndo uwe na salary kubwa
Hilo nilijua ila naongelea ile generally. Unaelewa kuna dereva mahali analipwa Hela nyingi kuliko Engineer so relax. Ila kiuhalisia ndo general rule mkuu kama haujui.

Even hizo ranks ziko ivyo kidunia.
Mhasibu Wa Boeing hamzidi Engineer wake anayejua Technical issues.
Sijaleta hapa kama ligi mana kuna RAIA by nature ni Watu Wa ligi.
 
Mwalimu anasoma miaka mitatu chuoni. Engineer na mwanasheria wanasoma minne. Daktari na architecture wanasoma miaka mitano. Na hivyo scale zao ziko tofauti pia ieleweke
sidhani kama kigezo cha miaka mingi chuo ndio kinapanga mshahara. Alafu kuna nchi zingine engineering ni miaka mitatu, hata DIT kuna baadhi ya engineering ni miaka mitatu.

Wahasibu wanasoma mitatu tu lakini mishahara yao ni mikubwa sana. Kuna baadhi ya vyuo na nchi architecture ni miaka minne tu. Kwa hiyo kigezo cha miaka mingi sio kigezo sahihi.
 
sidhani kama kigezo cha miaka mingi chuo ndio kinapanga mshahara. Alafu kuna nchi zingine engineering ni miaka mitatu, hata DIT kuna baadhi ya engineering ni miaka mitatu. Wahasibu wanasoma mitatu tu lakini mishahara yao ni mikubwa sana. Kuna baadhi ya vyuo na nchi architecture ni miaka minne tu. Kwa hiyo kigezo cha miaka mingi sio kigezo sahihi.
Mkuu naona unaleta ligi kwa kitu usichokijua.
Elewa DIT kuna Bachelor of Engineering in Electrical Engineering. Ila kwa mlimani unaitwa Bachelor of Science in Electrical Engineering. Google ili ujue tofauti zikoje.
Hizo za miaka mitatu huwa ni B.E zipo hata India Nepal Bangladesh, Pakistan,Malaysia Sina uhakika kwa Europe.
Pia Huo mfumo Wa miaka mitatu una favour MTU aliyetoka FTC elewa ndugu.
Ila kijana akiingia na six yake anapiga minne kama kawaida. Wa FTC yeye anaanzia mwaka Wa pili.
Iyo mhasibu kula Hela nyingi sijakataa ni mashirika ila tunaongelea kiujumla kuwa viwango vya salary za Engineers ziko juu kuliko wahasibu. Sema iyo anaweza akawa yupo kwenye shirika akawa analamba za kufa MTU hata kama salary ya 10 Engineers.
Hivi unaelewa kuwa salary ya driver Wa tanapa ama Wa mbunge ni bei gani.
Ishu kuwa ni kuwa Upo kitengo gani.
Daktari Wa rufaa na hospital kawaida wanatofautiana salary unalijua hilo.
Unajua salary scale ya Engineer Wa halmashauri,TANROADS, Tanesco ama TBS zikoje lakini.
Pia unaelewa nesi Wa UNHCR anakula bei gani.

Architecture kama anasoma miaka minne. Ina mana anapunguza mambo ila sio full architecture unalijua Ilo.usifanye mambo kuwa marahisi ili yaendane na fikra zako.
Hivi hauelewi general.
Kaulize Mhasibu Wa TANROADS na mhasibu wake ni nani anayelipwa Hela kubwa.

Unajua Highway Engineer kwenye miradi ya UN anakula zaidi kama 20M kwa mwezi na huku Wa halmashauri engineer hiyo Hela kuipata mpaka miaka miwili ajumlishe salary yake ndo amfikie.
Yaani watu sijui mko dunia gani.

Uliza Malaya ukiwa mlimani city pale samaki samaki ,kona bata sinza,sewa gesti,lambo, mwanachuo anayjiuza, mwananyamala,akiwa masaki,maisha club,club las Vegas ,ukiwa mwanza ,tanga,Arusha pale shivaz kama mrina bar, hata mwanza ukiwa kasiki,bonasera,diamond, Bundesliga, tanga ukiwa Majestic ama wale wanaokaa roads, ukiwa zenj unaelewa maisha.
Inategemeana na eneo unalofanyia kazi mkubwa.
Kuna mahali dereva anamzidi salary mpaka daktari.
Dereva kwa USA analipwa dola 5K ~ 12M+ kwa mwezi kwa Hela za madafu.
Daktari kwa kanada anakula lama 75M kwa mwezi Hela ya kitanzania.
Kama hujaelewa basi nakuacha
 
Nimekuelewa sana unachozungumzia mkuu.
 
Back
Top Bottom