Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Wanabodi,
Wakati mjadala wa muundo wa muungano ukiendelea, na haswa ukinzani kati ya mapendekezo ya Tume ya Warioba ya kupendekeza muundo wa serikali tatu, huku msimamo wa Chama cha Mapinduzi CCM ni serikali mbili, Mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ameibuka na kudai kuwa pendekezo la Tume ya Warioba kupendekeza muundo wa muungano wa serikali tatu, ni illegal, unjustified na ni kuuvunja muungano!.
Mhe. Kingunge Ngombale Mwiru, ameibuka na msimamo huo mkali, wakati akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha TBC, kilichokuwa kinaendeshwa na Mtangazaji mahiri, Shabani Kissu, ambapo alikuwa ameandamana na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Mhe. Pandu, Ameir Kificho.
Kingunge, amesema, msingi mkuu wa muungano ni mkataba wa muungano, "Articles of the Union" zenye dhima ya muungano wa serikali mbili. Kitendo za kuubali muungano wa serikali mbili kwenda serikali tatu, ni kuyavunja yale makubaliano ya muungano kinyume cha sheria, hivyo ni kuuvunja huo muungano wenyewe, hivi pendekezo hilo ni illegal!.
Kingunge amesema kuwa ule mkataba wa muungano, ndio msingi mkuu wa muungano uliopo na unaendeshwa kwa kufuata misingi ile ile ya mikataba, ili kubadili kitu cha msingi kwenye mkataba, lazima kwanza "parties to contract" or their legal representatives wakae pamoja na kukubaliana kubadilisha makubaliano hayo!. Hivyo hilo pendekezo la kubadili muundo toka serikali mbili kwenda serikali tatu, bila kuwakutanisha "parties to contract" na wakakubali, ni pendekezo illegal!, utaratibu halali wa kuelekea kwenyependekezo la serikali tatu, ulibidi uanzie kwanza kwenye kuvunja kwanza yale makubaliano ya serikali mbili, kisha wadau wa makubaliano hayo wakae tena chini wapendekeze muundo wa serikali tatu na kukubaliana, ndipo pendekezo hilo lingeletwa bungeni na kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura ya aina ya muungano, ndipo lije sasa ndani ya katiba mpya!.
Jaji Warioba amelitoa wapi pendekezo hili la kuyavunja makubaliano ya muungano, bila kwanza kuwaita wale wadau wa muungano?.
My Take:
Hoja za Kingunge ni very valid na logical, kama hoja hii ni kweli, then, muungano ulivunjwa rasmi siku ile tulipobadili katiba na kumuondoa rais wa Zanzibar, asiwe makamo wa kwanza wa Rais wa Tanzania bila consent ya parties to contact!.
Ila kama msingi mkuu wa CCM kushikilia msimamo wa serikali mbili, ndio huu, then CCM wako very right kutetea serikali mbili, kuweka msimamo wa pamoja wa serikali mbili, ila ningeshauri kwanza hiyo rasmu ambayo imeelezwa kuwa ni illegal, kwanza iwe declared kuwa rasmimu hiyo ni illegal, iwekwe pembeni, wajumbe wetu wa bunge la katiba watengeneza rasimu nyingine legal, watupatie tuu hiyo "Bora Katiba" kelele hizi ziishe tuendelee na mengine!.
Kidemokrasia mambo yote ni serikali tatu!
Kisheria serikali mbili ndio mpango mzima!,
Ila kudumisha muungano, serikali moja ndio mambo yote na ndio kila kitu!.
Jee wewe unasimama wapi?!.
Pasco.