Muundo wa Ofisi za Bunge ukoje kiutendaji? Naona kama kuna kitu kinamshusha Ndugai

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Mara kwa Mara nimesikia matamko ya Spika akiwa kwenye ufalme wa kiti chake.

Kuna mambo mengine sioni kama anastahili/kulazimika kujibiajibia hata masela kwenye mitandao. Muundo wa Watendaji wa Ofisi ya Bungeni ukoje?
 
Achana na hiyo lofa we tafuta wali watoto wale...huyo Hana Muda mrefu atatubia uzinzi wake
 
Back
Top Bottom