stella halimoja
New Member
- Dec 14, 2013
- 4
- 1
Waliobadili muundo wa mtihani wa taifa wa kuhitimu elimu ya msingi kuwa wa maswali ya kuchagua jibu sahihi tu,ndio wanaosababisha leo hii wanafunzi wengi wanafaulu kuendelea na elimu ya sekondari ikiwa hawajui kusoma,aina hii ya maswali inasaidia kufanikisha sera za kisiasa na kuua elimu yetu,na inapotokea kunahitajika kufanyika mabadiliko kama haya,inapaswa wadau hasa wa ngazi husika ya elimu kushirikishwa kwa hatua zote,kwani sasa ukiwauliza walimu wa s/msingi nini hasa lengo la kuondolewa aina zote za maswali ktk mtihani huo hawajui chochote