Naomba kufahamishwa muundo wa Katiba ya NGO

tapemeasure

Senior Member
Jan 15, 2020
141
84
Habari za muda wana jamvi,

Nimatumaini yangu kuwa kila mmoja yuko powa kabisa na mapumziko yake ya siku ya leo.

Nimeona nije huku jukwa la sheria mana ndio mahala sahihi juu ya swala langu. Shida yangu ni kutaka kufahamu muundo wa katiba ya NGO yoyote umekaje. Mfano katiba ya kikundi cha kusaidia watoto ya tima na makundi yenye uwitaji.

Kingine nilikuwa nataka kufahamu usajili wa NGO umekaje yani ni atuwa zipi mtu unatakiwa kuzifata ili uweze kusajili NGO yako na usajili huo umegawanyika kati gazi zipi. Na matumaini michango itakuwa yakujenga.
 
Muundo wa katiba ni Kama katiba nyingine sema content ni tofauti Ila structure ni ile ile

Kwa habari ya usajiri kuna taasisi zingine zinasajiriwa brela
Zingine wizara ya mambo y ndani
Zingine kwa wakurugenzi wa halmashauri
 
Habari za muda wana jamvi,

Nimatumaini yangu kuwa kila mmoja yuko powa kabisa na mapumziko yake ya siku ya leo.

Nimeona nije huku jukwa la sheria mana ndio mahala sahihi juu ya swala langu. Shida yangu ni kutaka kufahamu muundo wa katiba ya NGO yoyote umekaje. Mfano katiba ya kikundi cha kusaidia watoto ya tima na makundi yenye uwitaji.

Kingine nilikuwa nataka kufahamu usajili wa NGO umekaje yani ni atuwa zipi mtu unatakiwa kuzifata ili uweze kusajili NGO yako na usajili huo umegawanyika kati gazi zipi. Na matumaini michango itakuwa yakujenga.
Pakua huu hapa mkuuView attachment katiba_kiswahili.doc
 
Back
Top Bottom