Muundo wa Binadamu na sifa zake ili kufikia hatma yako

Walker Water

JF-Expert Member
Aug 23, 2022
785
2,947
Ili uweze kujua kusudi lako na hatimaye kufikia hatma yako ni muhimu sana kujua muundo wako wewe kama binadamu.

Binadamu anaundwa na vitu vitatu ambavyo ni;ROHO,NAFSI NA MWILI. ROHO,hii ndiyo inayokupa uhai na ipo ndani ya damu yako.

Kumbuka damu ya mtoto aliyeko tumboni na mpaka kuzaliwa ni damu ya baba yake tu na hana muunganiko wowote na damu ya mama,hivyo mtoto anapozaliwa anarithi roho ya baba yake mpaka pale atakapojiunganisha na roho nyingine yeye mwenyewe.

Kwa kifupi ni kuwa,uimara wako au udhaifu wako wa kiroho unategemea umerithi roho gani kwa baba zako(pamoja na mababu zako) na wewe wewe umeogeza roho gani katika maisha yako.

Usisahau kuwa roho ni mtu kamili mwenye vitu vyote vya mwilini sema amekosa mwili tu na hivyo vitu hivyo kushindwa kuonekana mwilini.

NAFSI,hii inaunganisha mtu roho na mtu mwili na kusaidia kutafsiri taarifa zote za mtu mwili na mtu roho.

Nafsi ili iweze kutafsiri hizi taarifa kwa usahihi inavitu kama akili,hisia zote (maumivu,huzuni,upendo wa kimahusianonk), maamuzi,fikra,mafanikio nk. Mtoto aliyeko tumboni mpaka anapozaliwa anauwezo wa kurithi nafsi ya pande zote mbili, yaani ya upande na baba na wa mama. Ili uweze kufikia hatma yako kupitia nafsi ni lazima ujiunganishe na roho unayoitaka au unayoipenda maana roho ndiyo pekee yenye nguvu ya kubadilisha nafsi.

MWILI, hii ni nyumba ya kuhifadhi roho na nafsi. Mwili unaongozwa na roho ili kufikia hatma yako na kama roho ikifa (mtu roho) maana anaweza kufa,basi mwili utaongozwa na nafsi.Ili roho na nafsi ziweze kuishi duniani muda mrefu ni muhimu ukatunza nyumba yao vizuri ambayo ni mwili kwa kula chakula bora,maji safi na kufanya mazoezi na kuepuka ajili zote ambazo unauwezo wa kuziepuka.

Hivyo,ili uweze kujua kusudi lako na kufikia hatma yako; Kaa chini chunguza umerithi roho gani kutoka kwa baba zako,kama unazipenda ziendeleze na kama huzipendi jitengenishe nayo na ujiunganishe na roho bora unayoipenda.

Pili, chunguza umerithi nafsi gani kutoka kwa baba zako na mama zako kisha futa vyote ambavyo uvitaki na tafuta roho bora unayoipenda ili kujenga upya nafsi yako.

Tatu,chunguza mwili wako kama unatatizo lolote la kiafya mwone daktari ili akushauri na kukutibu ili mwili uwe safi.
 
Mada nzuri, tatizo huwa muda wa kujitafta mkuu.

Mazingira tunayoishi kwa sasa yamejaa unyonge, uhalifu, uharibifu, ugumu wa maisha, mabadiliko ya tabia nchi ( joto), pesa haionekani, vita, uonevu, hata wale viongozi wetu katika imani nao hawaelewi tunaelekea wapi hata wao hawajui walipo, vurugu mtindo mmoja.

Kuanza kuchunguza urithi wa roho ya baba mpaka babu ama nafsi kwa mama mpaka bibi inahitaji karama haswaa
 
Ili uweze kujua kusudi lako na hatimaye kufikia hatma yako ni muhimu sana kujua muundo wako wewe kama binadamu.

Binadamu anaundwa na vitu vitatu ambavyo ni;ROHO,NAFSI NA MWILI. ROHO,hii ndiyo inayokupa uhai na ipo ndani ya damu yako.

Kumbuka damu ya mtoto aliyeko tumboni na mpaka kuzaliwa ni damu ya baba yake tu na hana muunganiko wowote na damu ya mama,hivyo mtoto anapozaliwa anarithi roho ya baba yake mpaka pale atakapojiunganisha na roho nyingine yeye mwenyewe.

Kwa kifupi ni kuwa,uimara wako au udhaifu wako wa kiroho unategemea umerithi roho gani kwa baba zako(pamoja na mababu zako) na wewe wewe umeogeza roho gani katika maisha yako.

Usisahau kuwa roho ni mtu kamili mwenye vitu vyote vya mwilini sema amekosa mwili tu na hivyo vitu hivyo kushindwa kuonekana mwilini.

NAFSI,hii inaunganisha mtu roho na mtu mwili na kusaidia kutafsiri taarifa zote za mtu mwili na mtu roho.

Nafsi ili iweze kutafsiri hizi taarifa kwa usahihi inavitu kama akili,hisia zote (maumivu,huzuni,upendo wa kimahusianonk), maamuzi,fikra,mafanikio nk. Mtoto aliyeko tumboni mpaka anapozaliwa anauwezo wa kurithi nafsi ya pande zote mbili, yaani ya upande na baba na wa mama. Ili uweze kufikia hatma yako kupitia nafsi ni lazima ujiunganishe na roho unayoitaka au unayoipenda maana roho ndiyo pekee yenye nguvu ya kubadilisha nafsi.

MWILI, hii ni nyumba ya kuhifadhi roho na nafsi. Mwili unaongozwa na roho ili kufikia hatma yako na kama roho ikifa (mtu roho) maana anaweza kufa,basi mwili utaongozwa na nafsi.Ili roho na nafsi ziweze kuishi duniani muda mrefu ni muhimu ukatunza nyumba yao vizuri ambayo ni mwili kwa kula chakula bora,maji safi na kufanya mazoezi na kuepuka ajili zote ambazo unauwezo wa kuziepuka.

Hivyo,ili uweze kujua kusudi lako na kufikia hatma yako; Kaa chini chunguza umerithi roho gani kutoka kwa baba zako,kama unazipenda ziendeleze na kama huzipendi jitengenishe nayo na ujiunganishe na roho bora unayoipenda.

Pili, chunguza umerithi nafsi gani kutoka kwa baba zako na mama zako kisha futa vyote ambavyo uvitaki na tafuta roho bora unayoipenda ili kujenga upya nafsi yako.

Tatu,chunguza mwili wako kama unatatizo lolote la kiafya mwone daktari ili akushauri na kukutibu ili mwili uwe safi.
Bado sana. Rudi usome tena vitabu.
 
Kwamba damu ya mtoto aliyepo tumboni Hadi kuzaliwa Ni damu ya baba pekee? Kwa logic ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom