Muundo mpya wa makutano ya Mbezi Mwisho. Hongera sana Tanroad kwa usikivu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
K2a hissani ya lethy mleta mchoro ni kwamba hatimaye mbezi mwisho haitakua na mataa kama design ya mwanzo.

Design mpya inaonyesha morogoro road itapandishwa juu na goba-malamba mawili kinyerezi itakua underpass.

Kama ni hivi kwa niaba ya wapenda maendeleo wote naomba niwapongeze tanroad kwa usikivu au kwa kuliona hili.

Hii itasaidia sana kuokoa fedha za wananchi.

Mchoro wenyewe ndio huu kama ulivyo letwa na lethy .

Labda kama sijasoma vizuri mchoro

tapatalk_1568099482342.jpeg
 
Kongole nyingi kwao kwa kusikiliza ushauri, nikupe pia heko nyingi kwa kuleta changamoto hiyo na kupendekeza utatuaji wa changamoto hiyo..

Sidhani kuwa mleta mada ndio kashauri bali hii TANROADS walikuwa nayo kapuni mlalamikaji alipojaribu kuleta maada ya kulaumu bila ya kuongeo nao, wamemjibu na hii sio kitu ya kudizaini siku mbili
 
Hii ni mpya, na mimj sio mtu pekee niliye leta haya malalamiko..

Sijasema uzi huu ndio umefanya wabadili design.. kuna watu najua ambao wamekwenda mbali hadi kuwaona kabisa..

Jambo la msingi ni kwamba hii design ni mpya haikuwepo mwanzo.

Tatizo lako naona unaona wivu kama ingetokea kweli ushauri wangu umesikilizwa.

Ninacho weza kusema watanzania tujifinze kusema ukweli.

Kuna engineers wengi wanapita pale lakini hawana habari na kinacho endelea.
Sidhani kuwa mleta mada ndio kashauri bali hii TANROADS walikuwa nayo kapuni mlalamikaji alipojaribu kuletaa maada ya kulaumu bila ya kuongeo nao, wamemjibu na hii sio kitu ya kudizaini siku mbili
 
Huna haja ya kuumiza kichwa, hii mada ulileta na tukaona ukatoa na ushauri pia..pokea shukrani, wengine watakuja kusema umetumwa au umepangwa. Ndio tulivyo, wengine wameumia sana kuona mawazo yako yamepewa uzito..JPM anasema chapa kazi..
 
Kama unadhani walikua nayo kaangalie ujenzi wa hili eneo ulipo fikia. Ukweli ni kwamba walisha piga kifusi na kuweka zege lwa level ya kuweka lami .

Kwa mchoro huu ina maana kazi waliyo fanya mwanzo ni bure .. knabidi waanze kujaza mchanga tena juu ya layer ya zege.
Sidhani kuwa mleta mada ndio kashauri bali hii TANROADS walikuwa nayo kapuni mlalamikaji alipojaribu kuletaa maada ya kulaumu bila ya kuongeo nao, wamemjibu na hii sio kitu ya kudizaini siku mbili
 
Huwa naheshimu sana taaluma za watu, ila inafika kipindi unajiuliza inakuwaje professional wa fani fulani anafanya kitu ambacho hata mtu ambae hana elimu ya hio faniyake anaona hayo makosa?! Nilikuwa sitaki kuamini kama kweli hapo Mbezi mwisho wanafanya kile ulichokuwa unakipigia kelele!

Seriously unajemnga barabara mithili ya motorway then kwenye junction unataka kuweka taa magari ya njia nane yasimame kupisha mengine kutoka uchochoroni?!!! SMH
 
It was a big shame. Sijui kama watatekeleza maana naona wamemwaga lami hadi karibu na makutano..
 
Hakuna cha interchange wala nini ,, kinachoendelea saiv ni ujenz wa kawaida tu na mataa ni lazima yawekwe hapa
 
Contractor na mshauri wote hawakufikilia kutuletea negotiate Mzuri kwenye makutano ya morogoro road na barabara ya Goba. Haikuwa kazi kubwa pale kuweka tuta la mchanga na kuacha upenyo kwa chini kwa gari zilizotoka goba kwenda kinyerezi. It was very easy ila nashangaa utopolo unaoendelea
 
Hiyo under pass ikwapi jamani au ndio walikuwa wanatupiga changa la macho..
 
Hakuna cha underpass wala overpass. Mataa kama Kenya na CAG ashasema ni utopolo tu unaendelea. Labda overpass ya abiria kuvuka kutoka stand ya daladala kwenda stand kubwa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom