Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,107
- 18,323
K2a hissani ya lethy mleta mchoro ni kwamba hatimaye mbezi mwisho haitakua na mataa kama design ya mwanzo.
Design mpya inaonyesha morogoro road itapandishwa juu na goba-malamba mawili kinyerezi itakua underpass.
Kama ni hivi kwa niaba ya wapenda maendeleo wote naomba niwapongeze tanroad kwa usikivu au kwa kuliona hili.
Hii itasaidia sana kuokoa fedha za wananchi.
Mchoro wenyewe ndio huu kama ulivyo letwa na lethy .
Labda kama sijasoma vizuri mchoro