Muumini na Padri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muumini na Padri

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by eRRy, Nov 7, 2009.

 1. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  MUUMINI NA PADRI
  Muumini mmoja alikuwa akiungama kwa Padri.
  Muumini: Nakuungamia wewe Padri wangu, dhambi zangu ni hizi, nina meseji za matusi kwenye simu yangu, nina picha za x kwenye simu yangu.
  Padri alimwinamia taratibu na kumwambia:
  “Unaweza kunifowadia vyote?”
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  WORTH LOUGHING...tHANX!
   
 3. A

  Audax JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  c utani!!!!!!!!!!!1
   
 4. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  duhhh inafanana na hii ya mchungaji alikuwa anafungisha ndoa ya rafiki yake

  mchungaji; ni kweli bwana.....unampenda na unakubali kumuoa bi......
  bwana harusi;nampenda kinoma.
  mchungaji;acha usenge tupo kanisani
   
 5. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Padre na Sheikh!
  Padre: Sheikh tupita hapa tupate kitimoto
  sheikh: Haram hiyo hailiwi
  Padre: Umekosa uhondo sheikh
  Sheikh: Nawahi nyumbani kwa mke wangu
  Padre: Haram haturuhusiwi kuoa
  Sheikh: Umekosa uhondo padre
  te te te
   
 6. M

  Mayolela JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huu kweli utani na udaka aswa
   
Loading...