Muumini anaswa na CCTV akiiba sadaka Kanisani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mwanaume mmoja nchini Kenya amekamatwa kwa kosa la kuiba kanisa Kanisani. Peter Muiya Irungu amenaswa na camera za siri zilizofungwa Kanisani hapo.

Inadaiwa kuwa, Peter ni mmoja kati ya Waumini wazuri wa kanisa hilo na hajawahi kukosa ibada hata siku moja hivyo kitendo hicho kimewashangaza wengi.

Hata hivyo, watu wanaomfahamu wanasema ameanza tabia ya udokozi tangu mwaka 2018

=====

1581672055173.png

A middle-aged man has been arrested in Murang’a after he was caught red-handed stealing from the church coffers.

Peter Muiya Irungu will be arraigned at the Murang’a law courts on Friday to face charges of burglary.

He was caught on hidden CCTV cameras breaking into James Cathedral Church in Murang’a town on Thursday.

The suspect was caught inside the church just after he stashed offertory into his pockets.

The Church leadership said it was concerned about missing offering and decided to hoist secret cameras within the premises.

There was also a growing mystery of torn bills which forced the church to conduct the investigations.

Footage seen by Citizen Digital and believed to be from the incident shows a man believed to be Muiya attempting to pick a lock at the church premises.

A man believed to be Muiya is then seen using a thin wire to draw out notes from the safe box through a tiny opening.

It is believed that the same wire ended up tearing some notes in the process.

According to reports, Muiya has been living in Murang’a town where he works as a casual labourer.

People close to him spoke of his sticky fingers, saying that he started petty theft circa 2018 before graduating into the church offering heist.

The church administration was surprised at the discovery as he was one of the most ardent attendees of church service and would never miss a day in church.

Reports further indicate that he would pretend to pray and when everyone left church, he would use a special wire to empty the safe box.

Source: Citizen TV
 
Anarudisha faida yake huyo Wenda hawakumuelimisha nni maana ya kanisa Wenda alijua ni mikoba anaweka akiba mwanzoni mwamwaka anachua vyake ,alafu kanisa linashitaki badala ya kumwombea maana na hilo ni pepo
 
Hiyo ni dilemma, wamfanyeje sasa? Kwa nini wanamfunga pingu na wasimuachie Mungu amuhukumu?
 
Anarudisha faida yake huyo Wenda hawakumuelimisha nni maana ya kanisa Wenda alijua ni mikoba anaweka akiba mwanzoni mwamwaka anachua vyake ,alafu kanisa linashitaki badala ya kumwombea maana na hilo ni pepo

hahahahahahaa. . Ni kweli ana shetwani ambae anamshawishi aibe, sasa si mumuombe na kukemea pepo ? Mbona mnaenda polisi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom