englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Mapato yako laki 2 kwa mwezi lakini una nywele za Kibrazil za laki na 20,nyumba, gari,BB Q10 na bado unaomba uone muujiza? Huuoni huo wako?
Hahahaaa....! Kweli miujiza lol!!!
Alafu wewe!!?
Alafu wewe!!?
Watakupromot very soon usijaliMi muujiza wangu mkubwa ni kuamka asubuhi na kua na bidii ya kwenda kazini
wakati so obviously kampuni inaninyonya nguvu na hainipi motivation tosha
aiseee sijui nitakupata wapi nikupe tano.Watakupromot very soon usijali
Hata huu muujiza mume wangu....
mambo!!!
Embu kam zis wey nikufanyie the needful!
Mapato yako laki 2 kwa mwezi lakini una nywele za Kibrazil za laki na 20,nyumba, gari,BB Q10 na bado unaomba uone muujiza? Huuoni huo wako?
hujakata tamaa tu!!