muujiza

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,253
6,207
Mapato yako laki 2 kwa mwezi lakini una nywele za Kibrazil za laki na 20,nyumba, gari,BB Q10 na bado unaomba uone muujiza? Huuoni huo wako?
 
Hahahahahaahahahaa!!! Asanteeeeeeeeee!!! maana umeamua kutupiga madogo wafanyakazi wa serikalini.
 
hapa wamama wanausika zaidi.... lakini ujue sisi ndio tunaenda hii miujiza yote itokee kwao!
 
...kaka 'englibertm' hii ni kwa sababu ya kipato cha ziada ...hasa wakati wa lunch time, na baada ya muda wakazi' kwenye dinner appointment...
...
 
Mi muujiza wangu mkubwa ni kuamka asubuhi na kua na bidii ya kwenda kazini
wakati so obviously kampuni inaninyonya nguvu na hainipi motivation tosha
 
Mi muujiza wangu mkubwa ni kuamka asubuhi na kua na bidii ya kwenda kazini
wakati so obviously kampuni inaninyonya nguvu na hainipi motivation tosha
Watakupromot very soon usijali
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom