Muujiza/uponyji ni uthibitisho tosha wa nguvu za Mungu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muujiza/uponyji ni uthibitisho tosha wa nguvu za Mungu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Stevemike, Mar 30, 2011.

 1. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tangu tiba ya loliondo ianze, watu wamekuwa wakibishana sana. Wengine husema tiba hii imetoka kwa Mungu kwa kuwa watu wanapona na anayetoa tiba ni mchungaji, wengine wanapinga wakisema tiba hii haitoki kwa Mungu kwa sababu za kibiblia au sababu zao wanazojua. Nauliza, kwa kuwa ni muujiza na watu wanapona, ni sababu tosha kuthibitisha kuwa imetoka kwa Mungu? Niwekeni kwenye nuru jamani nisikae njia panda.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  yah inaponya
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  BABU sio mtafiti wa dawa, wala sio scientist , wala sio herbalist . Kwa nini walio kwenye fani hizo wasijue hii ni dawa?
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ujue knachosaidia wa2 wapne ni kaul mbiu ya babu 'NIMEOTESHWA NA MUNGU' WA2 WANAPONYWA NA IMAN ZAO. Kuna wacopna pia!
   
Loading...