Amanikwenu
Senior Member
- Dec 1, 2009
- 187
- 0
Je JK anaweza kuibuka mshindi wa tuzo maarufu ya MO IBRAHIM ya USD 5MN mwaka 2016 atakapokuwa amemaliza kipindi chake cha pili katika uongozi wa nchi yetu?
Je JK anaweza kuibuka mshindi wa tuzo maarufu ya MO IBRAHIM ya USD 5MN mwaka 2016 atakapokuwa amemaliza kipindi chake cha pili katika uongozi wa nchi yetu?
Kwenye ile bodi ya Mo kuna kina Dr.Salim, kwa alivyomfanyia 2005 kumwita Hizbu na sehemu ya wauaji wa Mzee Karume sijui hata kama atakuwa kwenye shortlist. Alitemwa Mkapa atakuwa yeye???????????
Sijui lakini ya Mungu mengi anaweza ingiwa na Roho wa Bwana akafanya wonders these 5yrs
inategemea na vigezo; ameleta amani na utulivu Zanzibar, e.t.cJe JK anaweza kuibuka mshindi wa tuzo maarufu ya MO IBRAHIM ya USD 5MN mwaka 2016 atakapokuwa amemaliza kipindi chake cha pili katika uongozi wa nchi yetu?
inategemea na vigezo; ameleta amani na utulivu Zanzibar, e.t.c
Mkapa aliua watu zanzibar jan 26-27, 2010 na kwa mara ya kwanza tanzania ikawa na wakimbizi wengi (kwani kipindi cha nyerere walikuwa wapo pia, mf kambona), mkapa aliuwa watu mwembechai-dar na kwa mara ingine tanzania ikawa na wakimbizi mfani Issa Ponda, mkapa alibana vyombo vya habari vilikuwa havipumui na hata ufisadi uliokuwa ukifanyika hakuwa wakumfunga paka kengele tifauti na JK. Vyama vya upinzani vilikuwa kama digidigi wanavyowindwa na wawindaji-kwa kweli Mkapa kakustahili. Kikwete anaweza kupata pamoja na hila wanazomfanyia waG.Kwenye ile bodi ya Mo kuna kina Dr.Salim, kwa alivyomfanyia 2005 kumwita Hizbu na sehemu ya wauaji wa Mzee Karume sijui hata kama atakuwa kwenye shortlist. Alitemwa Mkapa atakuwa yeye???????????
Sijui lakini ya Mungu mengi anaweza ingiwa na Roho wa Bwana akafanya wonders these 5yrs
\Kwenye ile bodi ya Mo kuna kina Dr.Salim, kwa alivyomfanyia 2005 kumwita Hizbu na sehemu ya wauaji wa Mzee Karume sijui hata kama atakuwa kwenye shortlist. Alitemwa Mkapa atakuwa yeye???????????
Sijui lakini ya Mungu mengi anaweza ingiwa na Roho wa Bwana akafanya wonders these 5yrs