Muujiza Kutokea 2016?

Amanikwenu

Senior Member
Dec 1, 2009
187
0
Je JK anaweza kuibuka mshindi wa tuzo maarufu ya MO IBRAHIM ya USD 5MN mwaka 2016 atakapokuwa amemaliza kipindi chake cha pili katika uongozi wa nchi yetu?
 
Ile kufikiria HIVYO TU!!! nakuona we ni kilaza ACHILIA MBALI HATA KUWEPO kwenye kucontest TUZO YENYEWE...... Futa thread hii
kabla wengi hawajakuona @#%^#&&@&*2 wewe.
 
Kwenye ile bodi ya Mo kuna kina Dr.Salim, kwa alivyomfanyia 2005 kumwita Hizbu na sehemu ya wauaji wa Mzee Karume sijui hata kama atakuwa kwenye shortlist. Alitemwa Mkapa atakuwa yeye???????????
Sijui lakini ya Mungu mengi anaweza ingiwa na Roho wa Bwana akafanya wonders these 5yrs
 
We nae unakimbizwa??? ile ni tuzo ya ma"RAIS" WASTAAFU na si vinginevyo
 
Je JK anaweza kuibuka mshindi wa tuzo maarufu ya MO IBRAHIM ya USD 5MN mwaka 2016 atakapokuwa amemaliza kipindi chake cha pili katika uongozi wa nchi yetu?
inategemea na vigezo; ameleta amani na utulivu Zanzibar, e.t.c
 
Nani kakwambia kuna amani na utulivu Z'bar??? nani kakuambia kaleta kikwete suluhu hiyo??? Unamuacha wapi mke wa Raisi wa kwanza wa Z'bar mama Karume?? huyo ndo kafikisha hayo yalipo, na CCM makao makuu hawakutaka kabisa kusikia hilo.Mpaka kesho...
 
ya atapata, kama kigezo ni pamoja na wizi wa kura, kuongezeka mfumko wa bei, kuunganisha vyama vya upinzani kupinga wapinzani wenzake, kusafiri sana, kudanganywa kuliko marais wote afrika nk. Kwa hivyo vigezo atapata
 
Yaani ni wajinga tu wanaoweza kusubiri mechi ya dk 90 kujua kikwete atapata tuzo...............hivi tuzo wanapewa hata wehu......atapewa tuzo na sisi watz kwa kuanzisha kampuni feki ya richmond na marafiki zake lowasa na rostam ..........na kwa kuwasamehe wezi wa mali ya umma hakika lazima tumpe phd (pure head damage) hapa udom hizo ndo zetu
 
Kwenye ile bodi ya Mo kuna kina Dr.Salim, kwa alivyomfanyia 2005 kumwita Hizbu na sehemu ya wauaji wa Mzee Karume sijui hata kama atakuwa kwenye shortlist. Alitemwa Mkapa atakuwa yeye???????????
Sijui lakini ya Mungu mengi anaweza ingiwa na Roho wa Bwana akafanya wonders these 5yrs
Mkapa aliua watu zanzibar jan 26-27, 2010 na kwa mara ya kwanza tanzania ikawa na wakimbizi wengi (kwani kipindi cha nyerere walikuwa wapo pia, mf kambona), mkapa aliuwa watu mwembechai-dar na kwa mara ingine tanzania ikawa na wakimbizi mfani Issa Ponda, mkapa alibana vyombo vya habari vilikuwa havipumui na hata ufisadi uliokuwa ukifanyika hakuwa wakumfunga paka kengele tifauti na JK. Vyama vya upinzani vilikuwa kama digidigi wanavyowindwa na wawindaji-kwa kweli Mkapa kakustahili. Kikwete anaweza kupata pamoja na hila wanazomfanyia waG.
Anyway tusubiri
 
Kwenye ile bodi ya Mo kuna kina Dr.Salim, kwa alivyomfanyia 2005 kumwita Hizbu na sehemu ya wauaji wa Mzee Karume sijui hata kama atakuwa kwenye shortlist. Alitemwa Mkapa atakuwa yeye???????????
Sijui lakini ya Mungu mengi anaweza ingiwa na Roho wa Bwana akafanya wonders these 5yrs
\

Takataka

Back
Top Bottom