TANZIA Muuguzi wa Hospitali ya Mirembe auawa kikatili na Mumewe kwa kukatwa mapanga

Wanawake punguzeni mdomo mdomo na dharau kwa waume zenu.
Yaani dada zetu siku hizi wanaweza kufanya makosa halafu unaongea nae kistaarabu anakuletea ufidhuli mixer dharau na mdomo mchafu.
Hio 50/50 mkiiendekeza itawaponza.
Hivi mwanaume mwenye akili timamu anaanzaje anzaje kumshikia panga mwanamke mnyenyekevu na mtiifu?
Kweli wewe unafaa sana kwenye ushauli wengi hawajui hilo ushauli bora kabisa ongera sana
 
Zirudi zile ndoa zetu za kiasili
ukristo huletaubinafsi na uchoyo,unaoa/kuoelewa na mume mmoja kati ya karibu watu 2billion.
Unamchoka,ila dini haitaki umwache mpaka mmoja wenu afe.
Hivyo kifo ndiyo suluhu namba moja dhidi ya ndoa za kinafki za kikristo
bora hata kidogo uislamu,ndoa siyo nira,unaoa na kuacha muda wowote.
Ndiyo maana kati ya haya mauji katika ndoa ukichunguza:80% ni wakristo,10% waislamu iliyobaki ni hizo dini zingine.
 
Huyu mmewe sio mchaga kweli Mana si saivi sijui Wana hasira Sana hawana hela sijui.
Ila wao ni matajiri na ni wasomi hata kabla mkoloni hajaja. Inakuwaje.
Ila marehemu pumzika kwa amani. Umetutangulia safari yako umezimaliza ingawa umeondoka kwa uchungu mno jamani.
Inaonyesha mchaga alikufira mkuu, Yani kila jambo Hadi la wagogo unahusisha wachaga, huyo mchaga mmoja aliyekutenda vibaya msamehe na mtoe moyoni
 
Wengine wana hasira kali na dukuduku, akidhamiria kitu mpaka akifanye.

Nikiwa na mwanamke wangu wa Kihehe, kuna siku tukazinguana tukapigana. Nikajua yameisha. Wakati tumelala usiku, ghafla nikakurupuka kutoka usingizini, nikamkuta kashika kisu kashikilia dungu langu. Nikamtimua
Khaaa ulioa Gaidi mkuubora malaika wako hakukuangusha usingeamka sasa hivi tungekuwa tunazungumza mengine!!
 
Huyu mmewe sio mchaga kweli Mana si saivi sijui Wana hasira Sana hawana hela sijui.
Ila wao ni matajiri na ni wasomi hata kabla mkoloni hajaja. Inakuwaje.
Ila marehemu pumzika kwa amani. Umetutangulia safari yako umezimaliza ingawa umeondoka kwa uchungu mno jamani.
Atakua mchaga wa ruangwa au unguja
 
Hatujui alifanya ninin mpaka jamaa akamuaa kumsort. Mpaka tusikie na ya upande wa pili.
 
Back
Top Bottom