TANZIA Muuguzi wa Hospitali ya Mirembe auawa kikatili na Mumewe kwa kukatwa mapanga

Mapepo yanatuma mawimbi ya Tamaa na wivu kwa Mtu kifuatacho ni kuua
Ukiua tu pepo linatoka mwili mwako unajikuta unaanza kushangaa na kutaka kukimbia. Wakati ulikuwa jasiri ulivyokuwa umepanga tukio na kutekeleza.
 
Mkuu ipo haja ukatoa maelezo kituo cha polisi kilicho karibu na wewe.

Unajua sana inabidi tukufanyie mahojiano.

Una haki ya kubaki kimya chochote utakachosema kinaweza kutumika against you 😯😯😯☹☹☹☹
 
Wanaume tufikemahali tukubali kwamba hata mke akigawa gazeti wakalisoma wengine huko nje bado hakijaharibika kitu. K ikipigwa maji ya vuguvugu inakua mpya Tena.
Mbona sisi tunachovya chovya unafikiri Hawa wenzetu hawajui?
Wanajua sana Ila ndoa Ni kuvumiliana
 
Aiseee au huyo dada aliamua kuolewa na kichaa aliyepona hapo hospital Nini maana Sio Kwa ukatili aliofanyiwa na huyo Mwendawazimu

Anyway R.I.P
 
Wanaume tufikemahali tukubali kwamba hata mke akigawa gazeti wakalisoma wengine huko nje bado hakijaharibika kitu. K ikipigwa maji ya vuguvugu inakua mpya Tena.
Mbona sisi tunachovya chovya unafikiri Hawa wenzetu hawajui?
Wanajua sana Ila ndoa Ni kuvumiliana
Hapo mkuu haujatoa elimu umeharibu fani za watu, nadhani hauna uzoefu, maji ya moto tena!

Hiko kitu huwa kinapingana na mazingira.

Ukitaka kiwe cha moto na tight, piga maji baridi(ya friji ama mtungini).

Na ukitaka kiwe cha baridi na loose, kipige maji moto!

Haya maneno siyasemi mimi, ni kwa mujibu wa makungwi.
 
Back
Top Bottom