Muuguzi mtandaoni

Midazolam

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
806
1,336
Wakubwa shikamooni, vijana wenzangu mambo zenu.

Nianze tu kwa kusema afya ni uhai , na miili yetu kuugua ni mojawapo ya changamoto kwenye maisha.

Mimi nafanya kazi na nimeajiriwa , mi ni mtumishi mwema kabisa na napenda sana kazi yangu, nipo kwenye hospitali moja kubwa tu hapa jijini ( dar es salaam)

Nje na kazi ya kuajiriwa nimekuja na hili suala la kufanya haya yafuatayo maana wapo wagonjwa wengi ambao wanaenda hospitalini au wanapata changamoto kibao au usumbufu wa kurudi hospitalini kwa jambo ambalo hata akiwa kwake anaweza kuhudumiwa.

Nafanya haya kwa uaminifu mkubwa zaidi :

1.kusafisha vidonda mpaka upone

2.Kuongeza dripu kwa mgonjwa wa nyumbani

3.Huduma ya sindano

4.kuwaunganisha wagonjwa wanaohitaji kumuona daktari bingwa (hii nitafanya bure bila malipo)

5.kutoa ushauri nasaha kwa wenye maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuwaunganisha na huduma ya kupata dawa ( dawa hutolewa bure bila malipo) na mimi hii nitafanya bure kabisa , maana najua na kutambua kuwa wapo ambao wanaumwa ila hawataki kujulikana na hata kwenda kupata dawa labda kwa kuhisi kwamba labda pale anajulikana mimi nitakusaidie na utapata uwe tu una ile kadi.

Hiyo namba tano pia ni bure, nitafanya tu kukuunganisha na hao watu ili uweze kupata dawa zako kwa wakati sahihi bila kuvuruga ratiba yako ya kumeza dawa.

Note, kwa hizo huduma mimi nitakuchaji nauli ya kunitoa nilipo mpaka ulipo na kulipia pia huduma hizo hapo namba moja mpaka tatu.

Na Mungu awabariki na naamini nitapata wateja wengi mno.

Mimi nipo ukonga gongo lamboto ndo ninapoishi.

Namba yangu ni hii hapa 0621204334.nafanya kazi masaa 24 kwa wakazi wa dar es salaam.
 
Utafungwa. Fungua mobile Clinic ili uwe huru. Otherwise ukikamatwa utakuwa unavunja sheria
 
Huduma ni saa 24 kwa wakazi wa Dar .. Je iyo Hospital kubwa unafanya kazi saa ngapi mpaka sa ngap ina maana utakua unatoroka ukipata mteja wa nje. samahani lkn
 
vidonda vya kwenye uume pia unasafisha?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom