Muuguzi diploma naomba kazi

Munari

Member
Jun 17, 2021
17
45
SALAAAM wanajamii?

Mimi ni muuguzi, jinsia mwanaume, nina umri 31 napatikana Kimara ,Dar nina leseni hai ya uuguzi nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi miaka 3+, Level ya fani ni diploma

Naomba kazi au connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali au sehemu ambayo naweza nikafanya kazi hata ( part time) nikapata helaa ya kuendesha maisha.
Home care,ushauri wa afya pia nafanya ila kuwe mazingira rafiki any time....
Najua na KUZINGATIA maadili ya fani na hofu ya Mungu pia katika kutibu,na kuhudumia afya za watu

Naomba kama unaweza kuniunganisha na fursa ya kazi unicheki PM.

Asanteni mtakaoguswa
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,831
2,000
Kila la kheri mkuu.

Kuna nafasi za Amref zilitangazwa juzi kati ebu zicheki mtandao utupiemo ndoano
 
Mzuzu

JF-Expert Member
Jul 11, 2007
495
500
SALAAAM wanajamii?

Mimi ni muuguzi, jinsia mwanaume, nina umri 31 napatikana Kimara ,Dar nina leseni hai ya uuguzi nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi miaka 3+, Level ya fani ni diploma

Naomba kazi au connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali au sehemu ambayo naweza nikafanya kazi hata ( part time) nikapata helaa ya kuendesha maisha.
Home care,ushauri wa afya pia nafanya ila kuwe mazingira rafiki any time....
Najua na KUZINGATIA maadili ya fani na hofu ya Mungu pia katika kutibu,na kuhudumia afya za watu

Naomba kama unaweza kuniunganisha na fursa ya kazi unicheki PM.

Asanteni mtakaoguswa

IMG-20210804-WA0012.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom