Muuaji wa wanawake aibuka dar!!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Ktk hali ya kushangaza jeshi la polisi limetangaza kuwa kumetokea kijana mmoja ambaye ni mweupe mtanashati anawachukua wanawake na kwenda nao gesti akishafanya nao ngono anawaua! Kwa mjibu wa Afande Kova ni kuwa kijana huyo kashanyonga wanawake wanne maeneo ya buguruni,mtongani na keko

Chanzo chanel kumi!!
 
ebwana hiyo kaliiiiii
jamani kina dada mnaopenda vyeupe muwe makini
msijifanye SISAHAU KUKU mtakufa

haya kwa wale wezi wa kuku wa mfalme ibeni kwa huyo kijana tuone kama hata ladha ya kuku utaifaidi hehehehehe
 
serious serial killer...huyu atakuwa na matatizo ya kisailojia, wanawake walimtenda probably.
 
Hata wewe inaweza kukuhusu kama una dada au binti, kikubwa ni kuwaambia mabinti kuwa makini.
Sidhani kama waliouwawa waliiba kwa huyo kijana.
 
serious serial killer...huyu atakuwa na matatizo ya kisailojia, wanawake walimtenda probably.

Possible!
Inasikitisha kama ni kweli maana amechukua uamuzi mzito na mbaya zaidi hata akikamatwa ataishia kwenye adhabu tu,
angeliweka wazi mapema labda angesaidiwa kisaikolojia.
Hakuna aliyekamilika chini ya jua lakini kufikia kulipiza kisasi kiasi hiki ni hatari!
 
Akishawaua anawafanyaje? Anawanyofoa maini,figo au anawanyonya damu? Au raha yake kuwanyonga tu? Tupe detail kidogo basi
 
Mbaya sana, R.i.p marehemu wote.
Hivi kweli hawa kina dada waliouawa kwa nini tusiseme ni kifo cha kujitakia? Unapopatana bei ya ngono na mtu ambae hukuwahi kumjua tena kwenye giza na kwa kificho unategemea nini? Nashauri changu doa wote kama kwa makusudi kabisa wamekataa kujisalimisha kwa Yesu ili awaweke huru kutoka kwenye hilo pepo la ngono linaowasumbua, basi waanzishe chama chao na biashara yao iwe wazi kabisa. Mteja kabla hajaingia nae kuvunja amri ya 6 aache ID yake mapokezi.
.
 
Ktk hali ya kushangaza jeshi la polisi limetangaza kuwa kumetokea kijana mmoja ambaye ni mweupe mtanashati anawachukua wanawake na kwenda nao gesti akishafanya nao ngono anawaua! Kwa mjibu wa Afande Kova ni kuwa kijana huyo kashanyonga wanawake wanne maeneo ya buguruni,mtongani na keko

Chanzo chanel kumi!!

Vp na wale waliofia guest za Kndoni wiki chache zilizopita hawana uhusiano na huyu jamaa???????
 
Wawe makini kufuatilia, people like him always leave a clue.
 
Back
Top Bottom