Muuaji wa Raia kwa Gas na Mmiliki wa Southbeach yuko mtaani!

Simbajr

Senior Member
Apr 1, 2010
188
41
Habari za uhakika zina sema kua Salim Nato (Chipata) mmiliki wa Southbeach na Mfanyakazi wake anaefahamika kwa jina la George walio tuhumiwa kwa Kesi ya mauaji ya Raia alie ingia Southbeach kwa magendo (trespassing) wako mtaani wakila kuku kwa mrija.
hakuna shaka na kutoka kwao kama sheria zimefuata mkondo ila tunaomba vyombo husika vitutatulie sintofahamu zifuatazo....

1. Conditions zipi zimetumika kumwachia mtuhumiwa wa mauaji?
2. Kuna kesi zaidi ya laki moja za mda mrefu za wanyonge zinapigwa karenda hazijapata muda wa kusikilizwa iweje hii isikilizwe haraka haraka kiasi hiki?
3. Nani yuko behind ya haya matukio yote?
4.Mbunge,Diwani na wawakirishi wa wananchi wa maeneo ya Kigamboni wana ujumbe gani kwa wananchi wenye hasira kali??


kwa haya machache nadhani yakipatiwa majibu kutakua na afueni kubwa kwa wanandugu,jamaa na marafiki pamoja na wananchi wa Kigamboni na taznania kwa ujumla!
 
Du mm napita maana nina hasira kweli na hawa wenye nazo kwanini wanaachiwa?

 
Wenye nazo wana mamlaka juu ya sheria za nchi hii ndugu yangu!!!
 
Hiyo si habari ya ajabu kwa nchi hii ambayo sheria zipo kwa ajili ya kucompromise na sio laws enforcement!
 
Ule usemi wa pesa ipo juu ya sheria mmeusahau?!.

Hakuna nch ya Tanzania, bali kuna Ardhi ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom