Muuaji wa Mwangosi afukuzwa kazi,IGP Mwema atua Iringa leo kwa Chopa

Kwanza asante mkuu Mlyafinono kwa taarifa,sasa huyu bwana muuaji huyu apandishwe kizimbani haraka sana maana wasifanye vitu kwa kutuzuga kudadadeki zao
 
sometimes being satirical doesnt mean being "insensitive"

My humble opinion has got nothing to do with sensitivity.

Why should he be fired if he was simply following the orders from whoever? My opinion is, he should be promoted.
 
Tatizo liko hapo kwamba polisi wanatumiwa na CCM ili kuzima kasi ya M4 ambayo inatishia nafasi ya CCM kuendelea kutawala baada ya mwaka ya 2015.
 
Tatizo liko hapo kwamba polisi wanatumiwa na CCM ili kuzima kasi ya M4 ambayo inatishia nafasi ya CCM kuendelea kutawala baada ya mwaka ya 2015.

Hakuna tawala itayodumu milele duniani, walishindwa mafarao ambao walijijengea mahekalu ya utawala wao wakifa na wakazikwa na wafanyakazi wao watiifu wakiwa hai.

Hilo lisikutie shaka. Chadema haitoshika milele kwa kura za amani kwani hawana jipya la kutuwezesha kuwachaguwa, tunaona wana fujo na uvunjifu wa amani tu. Hakuna mpeda amani ataeichaguwa chadema, labda kije chama kingine kutukonge nyoy zetu, lakini chadema ni Big NO.
 
Bado siamini hili,kwanini wamfukuze wakati mkuu wa polisi alisema mwandishi aliuwawa na kitu kilichorushwa na watu wengine? Kwanini wamfukuze sasa wakati uchunguzi bado? Kama amefukuzwa kulikuwa na haja gani ya kuunda kamati ya uchunguzi? Je kamati hiyo kazi yake itakuwa ni nini haswa maana mhusika tayari amefukuzwa kama mnavyosema?
 
Huu ni usanii kabisa. Watanzania wanataka haya:

1/Tunataka jeshi la polisi liseme hadharani kwamba mauaji yalifanywa na polisi tena hadharani

2/IGP, RPC, na Nchimbi wanasimamishwa kazi kupisha uchunguzi kwa kuwa operation hizi zilikuwa zinasimamiwa moja kwa moja na wao.

3/Maofisa wote wa serikali na polisi waliotoa taarifa za upotoshaji wa tukio hili wanasimamishwa kazi mara moja.

4/Rais aunde tume huru kuchunguza tukio hili.
 
Walioua ni Mwema, Kamuhanda na CCM na sio hao askari wadogo ambao walitumika kama vifaa. Hivyo basi kama kuna wa kufukuza si wengine bali hao watajwa hapo juu. Mwema hataondoka kwa vile analindwa na mkwe wake Kikwete huku Kamuhanda akiachwa kwa vile ndiye aliyepangiwa kuimaliza CDM Iringa ingawa hatafanikiwa. CCM hiyo yajulikana kuwa hukumu yake ya kifo ni 2015.
 
My humble opinion has got nothing to do with sensitivity.

Why should he be fired if he was simply following the orders from whoever? My opinion is, he should be promoted.
so it was ok to shoot

right?
 
kafukuzwa? au amepelekwa mafichoni! Mikakati ya mauaji ilianzia kwenye vikao vya wakubwa ...(kiini macho hicho)
 
7 days later!

Nini majibu ya IGP kuhusu tamko la Mwigulu Nchemba kwamba Jeshi la polisi limeahidi kukilinda CCM hadi kufa?

Mkuu FJM, hili swali naomba chadema walichukue na kulishikia bango mpaka kieleweke.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom