Muuaji aliyeaminiwa na mzazi wa aliyeuawa

Hyo App inaitwaje Madame?
Mimi huwa naingia opera online via Crime investigation nacheki live.
But kwa Azam channel 504 ndipo unapata hizi crime zote kwa mtiririko.
App store zipo crime ..ila mie huwa napenda sana kucheki live via online.
 
Okey asante mamie ubarikiwe.
 
Big stalation nna wasiwasi na upeo wako wa akili hujui nyuz mbazo ambazo zipo kwa ajili ya kubishana hujui nyuz ambazo zpo serious out of jf we will get every thing but i jf we get what we want
Hivyo acha kuwasumbua wenzako kujifanya unajua sana kukaa kimya ni dalili kuwa unajua sana kiliko wenzako haitakua na maana ikiwa mwanafunz ameshajifunza topic nje ya darasa et hiyo topic isiletwe darasani najua ni utoto unakusumbua ila jf ina wakubwa weng acha utoto ukiona huna la kuchangia kaa kimya au nenda jukwaa la utani na gosip anzisha uzi sio jamii inteligence unawasumbua wenye akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ebu endeleza sehemu ya tatu...

Unafanya stori fupi iwe kama isidingo bwana
 
Back
Top Bottom