Muswada wa kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii Tanzania

Ntilla

Member
May 23, 2011
73
55
Section 4 & 6 inaanzisha mfuko mpya, unaitwa Public Service Social Security Fund. (PSSSF)

Section 77 Inafuta mifuko yote ilokuwepo ispokua NSSF.

S.81 Hata Voluntary Schemes za mifuko ilofutwa zinahamia kwenye mfuko mpya.

S. 80 & 87 Watumishi wote wa Umma mfuko wao utakua huu mpya, hivyo walokua wanachama wa NSSF nao watahamishiwa huko.

Licha kuhamishwa, pesa / michango hazita hamishwa, ispokua Authority itakuja na formula ya kukokotoa stahiki zao (portability of benefits)

Vifungu kuanzia 90 hadi 105 vinazungumzia mabadiliko ktk NSSF

S. 92 (b) & 93 (a) Members wote wa private waliokua kwenye hiyo mifuko wanarudi NSSF,

S. 96 Ina futa Employment Injury Benefit na SHIB na kuweka Unemployment benefit tu kama fao jipya,, waziri ataleta kanuni za unemployment benefits,
 
Yote hayo ni kwa ajiri ya DENI LA TAIFA hakuna njia nyingine maana wale tunaowabeza hawakopeki

Swissme
 
Fao la kujitoa
Mkuu hili fao kwenye social security industry hakunaga, sema tu liliwekwa kama kuvutia wateja ndo maana wanataka walete unemployment benefit, once ukiingia kwenye social security scheme huwezi kutoka unless ukathibitika una ulemavu wa kudumu ambao hutoweza kujipatia kipato tena kwenye maisha yako, hapo ndo benefit zingine zitachukua mkondo wake ila fao la kujitoa hiyo kitu hakuna
 
Old members wa PSPF na LAPF daaaah mkiangukia kwenye harmonization formula watakuwa wamewakatili sana, ila you have to obey the rule
 
Section 4 & 6 inaanzisha mfuko mpya, unaitwa Public Service Social Security Fund. (PSSSF)

Section 77 Inafuta mifuko yote ilokuwepo ispokua NSSF.

S.81 Hata Voluntary Schemes za mifuko ilofutwa zinahamia kwenye mfuko mpya.

S. 80 & 87 Watumishi wote wa Umma mfuko wao utakua huu mpya, hivyo walokua wanachama wa NSSF nao watahamishiwa huko.

Licha kuhamishwa, pesa / michango hazita hamishwa, ispokua Authority itakuja na formula ya kukokotoa stahiki zao (portability of benefits)

Vifungu kuanzia 90 hadi 105 vinazungumzia mabadiliko ktk NSSF

S. 92 (b) & 93 (a) Members wote wa private waliokua kwenye hiyo mifuko wanarudi NSSF,

S. 96 Ina futa Employment Injury Benefit na SHIB na kuweka Unemployment benefit tu kama fao jipya,, waziri ataleta kanuni za unemployment benefits,
 
Attachments

  • A Bill Public Service Pension Fund - KIKOSI KAZI (1).pdf
    993.8 KB · Views: 163
Ila bunge liliahilishwa mpaka Januari, 30, 2018---au kuna namna ambayo huwa wanajadili miswada licha ya bunge kuahilishwa?

Vilevile mtoa mada, tunaomba source ya hii tetesi yako. Maana nimeisaka kila nakojua, ila sijaona. Tafdahali, maana tusiwe tunajdili kitu ambacho hakipo. Ni hayo tu, na ni mtizamo tu.
 
Old members wa PSPF na LAPF daaaah mkiangukia kwenye harmonization formula watakuwa wamewakatili sana, ila you have to obey the rule
Hawa watu sijui wakoje? LAPF na PSPF ilikuwa mifuko mizuri sana. Sasa serikali imeona tunafaidi imekuja na mpango wa kudhurumu watu wake? Siamini ninachokiona!
 
Umenena vema Mkuu, lakini pia ilikua ikishindana kutoa Bonus kwa watumishi mf. fao la Uzazi, Malipo ya kianzio cha maisha kwa ajira Mpya, Piga kitabu, Mikopo ya Viwanja nk nk. Hii yote ilikuwa ni kwa ajili ya Ushindani wa kibiashara. Lakini wakiiunganisha ndio kifo cha mende kama TTCL maana hawana mshindani. OOooooooh God!
 
Kufa kwa shirika la hifadhi ya jamii ni ngumu sana, ila ndo hivyo watakuwa monopoly hata utoaji wa huduma utakuwa mbovu na kwakuwa kwa formal employed person ni compulsory kujiunga na social security scheme hawatakuwa na haja ya kubembeleza members yaani mfano mzuri tanesco huwez kuta wanabembeleza wateja kwa matangazo eti tunatoa umeme kwa bei nzuri, we utake usitake.

Sasa hapo wasipokuwa na usimamizi mzuri litakuwa janga kubwa sana kwa taifa, maana maendeleo yoyote yale hayaji bila njia nzuri za kupunguza umasikini kwa raia, na sector hii inashika sera kubwa sana ya kupunguza umaskini kwahiyo ikidorora tutegemee kuona wastaafu ombaomba
 
Nadhani ungeandika ile habari ya jana kwenye Mwananchi ingeeleweka vizuri kuliko wao walivyoiandika. Maana muswada unasema kanuni na vitu kama hivyo kuhusu unemployment benefits vitawailishwa na waziri husika, ila mwananchi jana wamewasilisha. Au kuna sehemu wamepata maelezo zaidi kuhusiana na huu muswada?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom