Muswada wa kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii Tanzania

Yaani mimi nashangaa ilikuwaje hata ikawa mifuko mingi mpaka kura REGULATORY BOARD KABISA kwa ajili ya hiyo mifuko,
Sikuwahi kuona tija ya kuwa na mifuko mingi labda wahusika walifikiri zaidi kuliko sisi,
 
Mifuko mingi imesaidia sana kwenye ubunifu .Ili kuvutia wateja hii mifuko ilikua ikijikuta inapambana kutoa offer mbalimbali...mfano mikopo ya elimu ya juu, mikopo kwa wanaoanza maisha etc...yote hii inaleta faida kwa mtumiaji ambao ndo wananchi....monopoly haitakuwa na msaada sana kwetu....patakua hamna ubunifu wowote....pata picha mfano kungekua na kampuni moja tu ya cm...hizo ofa za vifurushi etc zisingekuwepo...
 
Back
Top Bottom