muswada wa dawa chakavu unaandaliwa kuletwa bungeni

ikizu

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
431
56
jamani hali hii ni mbaya sana serekali yetu sasa imeamua kununua magari na mitambo chakavu.
hii inanipa wasiwasi nakufanya niamini kuwa sasa watu hawahawa yaani serikali hihi itatuletea pia mswaada wa dawa chakavu labda tuitoe ccm madarakani 2015.
 
Back
Top Bottom