Muswada tittled "hujuma" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muswada tittled "hujuma"

Discussion in 'Matangazo madogo' started by NasDaz, Jul 4, 2009.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Wadau wa masuala ya uchapishaji, lazima nikiri kwamba baada ya kusota sana mtaani nimeamua kuumalizia muswada wangu kwa nguvu zote!!Muswada ni wa riwaya, ambayo naamini iko poa na i hope penye wasomaji wa riwaya inaweza kubamba ile mbaya!! Ni riwaya, lakini zaidi ya riwaya kv nimezungumzia issue kibao ambazo niliamua kuziwasilisha katika mtindo wa riwaya. Jina la riwaya ni HUJUMA, na ni full hujuma in Politics, Corruption, economic issues na mengine kama hayo. Swali kwa wadau ni kwamba, pamoja na kutaka kuwasilisha hisia zangu kwa jamii, lakini MKWANJA ni muhimu vilevile! Sasa je, riwaya zinalipa kidogo zikiingia sokoni? Mnazani ni Publisher gani mzuri ambae naweza kumpelekea( it's my first time)? Muswada una pages nyingi mno kwa msomaji wa kibongo, (about 300 pages), je mnazani publishe wanaweza kuwa tayari kwa muswada mrefu hivi?In addition, nataka kwanza nikausajili COSOTA (Sina hakika kama nimepatia, but i mean kwa watu wa haki miliki), kabla ya kuupeleka kwa Publishe, sasa je, hawa COSOTA ofisi zao zipo wapi?

  Looking foward for your assistance!
  UJUMBE: Tusome riwaya za kibongo tuwezeshane!
   
 2. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280

  duh!! Up to sixteen viewers still no comment!! Plz assist waungwana!!
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Mkuu huo mswada kwa tittle hiyo, nadhani Aristablus Musiba kama ana riwaya yenye jina hilo?

  wazo la kupeleka COSOTA ni zuri ila sijui wanaweza kukusaodia kiasi gani. Riwaya nyingi nimeoan zimechapishwa HEKO publishers mfano za Ben Mtobwa labda wana maslahi mazuri, au MKuki na Nyota publishers
   
 4. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Kaka thanx, lakini Heko Publisher sizani kama bado wako poa kwa sasa, huyo mtobwa Heko ilikuwa ya kwake na vitabu vya kwake!! May be hao Mkuki!! Abt Musiba, ni kweli lakini for wht i know hiyo riwaya ilitolewa kwenye mzunguko kwa sababu wanazozijuwa wenyewe watu wa nyerere!!
   
Loading...