Muswada- Mapendekezo- Sheria ya Vyama vya Siasa-October 2018

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Ndugu wadau wa JF,
Naomba kuwasalimu kwa heshima kubwa na baada ya salamu. Naomba nichukue fursa hii kupongeza ujio wa Muswada huu,una mambo mazuri mengi.
Ningependa kwa ujumla wetu tujadili haya mapendekezo yanayohusu Muswada wa marekebisho katika Sheria ya Vyama vya Siasa, kama ulivyo wekwa ktk website ya bunge,unaweza pitia link hii hapa chini kujipatia nakala ya muswada husika.
http://parliament.go.tz/polis/uploa... POLITICAL PARTIES (AMENDMENT) ACT, 2018 .pdf

Ni vyema tukauchambuwa kadri tuwezavyo,ingawaje baadhi yetu si wanasiasa,lakini maisha hayaendi bila uwepo wa siasa.

Naomba nianze kwa kuchokoza mada kuwa naunga hoja mkono juu ya Muswada huu na vipengele vyake
Mfano nimekipenda sana kifungu cha
-6B kinachopendekezwa, kinaweka vigezo vya mtu anayeweza kuomba kusajili chama cha siasa na kifungu cha 6C kinaweka vigezo vya mtu kwa mwanachama wa chama cha siasa na pia kuzuia mtu asiye raia kushiriki katika shughuli za chama cha siasa.

-Pia napenda kuunga mkono hiki Kifungu cha 9 kinapendekezwa kurekebishwa ili kuhakikisha kuwa uanachama katika vyama vya siasa uko wazi kwa watu wenye ulemavu na kuhakikisha chama chochote kinachoruhusu mmomonyoko wa umoja wa kitaifa na kutumia dini kutimiza malengo yake hakipati usajili wa muda.

Lakini pia kuna kitu bado sijakielewa ktk huu Muswada,labda kwa sababu mimi sio mtu wa mambo ya siasa, wajuzi wa mambo naomba mtakavyo kuwa mnatoa maoni yenu basi msisahau kunielemisha ktk kifungu hiki hususani hapo nilipo KOLEZA WINO

Vifungu vya 11A na 11B vinapendekezwa kurekebishwa na kifungu cha 11C kinapendekezwa kuongezwa ili kuweka masharti yahusuyo kuungana kwa vyama vya siasa, ukomo wa vyama vilivyoungana na ushirika wa kisiasa baina ya vyama vya siasa. Kwa mujibu wa mapendekezo hayo uamuzi wa kuunganisha vyama utafanywa katika mkutano mkuu wa chama na vyama vilivyoungana vitafutiwa usajili na badala yake kitasajiliwa chama kipya kilichoundwa.
Shida yangu ipo HAPA
Aidha mfumo wa ushirika wa kisiasa baina ya vyama vya siasa utaainishwa kwenye kanuni.

Lakini ktk muswada ambao upo kwa lugha ya kingereza umeandikwa hivi
Coalition of political parties. 11C.-
(1) Political parties may form a coalition for the purpose of achieving a common political goal.
(2) The Minister may make regulations prescribing the manner of forming coalition of political parties.

Mimi sio mjuzi wa mambo ya siasa,ila ningependa kutoa ushauri hapa Minister may make regulations prescribing the manner of forming coalition of political parties.

Nashauri
Tume inaweza jaribu kuangalia wenzetu Kenya wamefanyaje ktk hili, kwa sababu ktk siasa za vyama vingi,leo kinakuja chama hiki,kesho kina kuja chama kingine kushika hatamu,sasa kukiwa na mwanya wa waziri kufanya hiki kilichoandikwa hapo juu,kinaweza kisilete maana nzuri na kuvuruga yale malengo mazuri ya Muswada huu.
Kwanini tume ya uchaguzi yenyewe isihusike,kuandaa kanuni hizo?
kama sio tume basi kuwe na kamati maalumu ndani ya bunge itakayohusisha vyama vyote ikaziandaa kanuni hizo.

Lakini pia nimepapenda hapa
Kifungu cha 12A kinapendekezwa kufutwa kwa kuwa masharti yake yamejumuishwa katika kifungu cha 12. Aidha, kifungu kipya cha 12C inapendekezwa kuongezwa ili kuvitaka vyama vya siasa kuwasilishwa kwa Msajili tamko la mapato yote na matumizi.

Hii itasaidia sisi walipa kodi na wapiga kura kuelewa matumuzi sahihi ya kodi zetu ktk hivi vyama vya siasa

Lakini pia sijaona mapendekezo juu ya mgombea huru,hususani kwa upande wa wabunge,madiwani na wenyeviti wa mitaa,wajuzi wa mambo nitaomba mnielimishe hapo.

Yapo mengi mazuri ktk Muswada huu,kwa yeyote atakayekuwa na muda,apitie kwa umakini na kama kuna nafasi ya kujadili basi,tutumie nafasi hiyo kwa maslahi mapana ya nchi yetu mama Tanzania.

Karibuni
 
http://parliament.go.tz/polis/uploads/bills/1542977541-BILL THE POLITICAL PARTIES (AMENDMENT) ACT, 2018 .pdf

Nadhani tunakubaliana wote kuwa pamoja na kuwa msajili wa vyama vya siasa hawi na wala hatakiwi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, pia hatakiwi kuwa na ajenda zozote za kufavor chama fulani cha siasa, anatakiwa kuwa 100% neutral, lakini kihalisia msajili ana base kwenye chama tawala. Hii haiepukiki. Sasa basi, nimeona kwenye muswada huu msajili amepewa malaka makubwa sana ambayo kwa namna moja ama nyingine anaweza kuminya chama fulani kama akiamua. Msajili anaruhusiwa kuomba taarifa zozote za chama fulani ni hatari maana anaweza akaomba minuted za kikao na msipompa ni kosa, chama kinakosa privacy namna hiyo. Kuna madudu mengi katika huu muswada, hautakiwi kupitishwa hata kidogo.

Yaani chama kinapangiwa hadi sera zake, mi sioni tatizo kama chama fulani kikiona kuwa muungano au mwenge una hasara zaidi kuliko faida, sio kosa ni maoni yao. And we all know mwenge ni hasara tupu TZ, unless Kuna some weird supernatural forces behind mwenge, basi hautuletei faida zaidi ni gharama kubwa kuukimbiza nchi nzima.

Huu muswada ni wa kuupinga kwa nguvu zote
 
Sheria na utekelezaji ni vitu viwili tofauti, chama kilichoko madarakani hakilazimiki kufuata sheria kwani hata hao wanaosimamia sheria hizo wanakula kiapo cha utii kwa mteule; Tumeshuhudia wachina wakipanda jukwaa la CCM huku wamevaa sare za CCM na kupigiwa makofi! Ambapo wageni wa upinzani wakiwa chini ya jukwaa bila sare wakipewa onyo!
 
Nadhani labda ndio maana Muswada huu umeleta mabadiliko,kuwa mgeni hana nafasi hiyo ya kushiriki maswala ya kisiasa ndani ya Tanzania
 
Naona wameona kuwa Dovutwa na Shibuda peke yao hawatoshi.
 
Back
Top Bottom