Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,729
- 528
Nimekerwa sana na mchango wa Mbunge mmoja wa CCM Kagera leo. Kilichonishanga ni jinsi Wabunge wa CCM (ingawa ni kawaida yao) kuweka hoja pembeni na kuanza kumjadili Tundu Lissu!
Wakati anachangia hoja alimjadili Lissu na baadae akazungumza ati CCM tutaulinda Muungano kwa nguvu zetu zote! Nilijiuliza huyu mama ana nguvu gani ya kutoa kauli hiyo? Maana si yeye si Waziri, tena kama Watazani hawataki huo Muungano, yeye ana mamlaka gani ya kuzuia? Inaonekana hawa Wabunge wa CCM ni vilaza sana.