Musukuma unajisikiaje uliowachongea kuendelea kupeta kwenye teuzi?

Serikali yetu na namna nzima ya kuongoza serikali kama usalama kuna shida kubwa sana zaidi ya sisi tunachochukukua.
Ebu fikiria Mbunge Msukuma halipi kodi Bungeni kama Mbunge; pia halipi kodi kwenye biashara zake za kukodisha mitambo pale Mwanza maeneo ya NATA hana risiti ata ya mkono achikia mbali ya EFD. Mteja akikodisha zile vijiko na mitambo mingine; pesa anachukua cash stakabadhi yoyote yenye kuonesha kua kodi inalipwa amna.
Kwenye suala la magari yake ndiyo balaa zaidi; kibaya zaidi mamlaka husika kama Chama...TRA...SUMATRA ndiyo wanamkingia kifua; je usalama wa taifa hili kazi yenu hua ni nini kwenye kuhakikisha kua viongozi wanawawakilisha wananchi wanakua watu wenye kufuata sheria?

Pia; suala la viongozi kutenguliwa teuzi zao kwa awamu iliyopita na sasa kuteuliwa awamu hii inaonesha kua matatizo ya awali zimerebishwa au kila mtu na urefu wa kama yake? Usalama wa nchi mnakosea pakubwa sana.
 
Back
Top Bottom