Musukuma: Mke wa Diallo alipewa Ukurugenzi na Hayati Magufuli. Asema alimsaidia Star Tv ilipofungiwa na TRA

Kwa matendo aliyotenda Mwendazake ni viumu sana kumtetea ndiyo maana huyu Msukuma amesema kuwa Diallo asiongee kwa vile alimpatia mke wake cheo cha DED. STUPID argument
Kwa kweli kwa hoja hiyo, ndiyo inapoonesha kuwa Musukuma ni mbumbumbu.
 
Huyo mtu wenu Msukuma ni mjinga tu, kutokuwa na akili ya kupima mtu anayaongea hadharani ni dalili mbaya ya kutostaarabika.
Sasa tunajua kuwa kuna watu walikuwa wanapoozwa wasimhambuie Mwendazake.Na walikuwa wakifanywa hivyo kwa vile wanatoka kanda pendwa?
Upendeleo huo au ubaguzi huo mbona watu wa Kimara hawakuupata.
Msukuma naye si mwanasiasa, anateteaje mambo ya kijinga kama hayo.
Utanzania kwanza.
Musukuma ni mjinga, kwake kutetea mambo ya kijinga, ndiyo upeo wake unapoishia.
 
Unaona sasa?

Yote hii ni fear ya lugha ya English

Yeah,kujua Kingereza sio kwamba nina akili sana ila na wewe kujua Kiswahili hakukufanyi uwe na akili either!

Na hii tabia mbovu ya kuogopa English ni ya hovyo sana,sijui ulienda shule miaka 14 mpaka Chuo Kikuu kusomea mavi?

Jitu zima lina mvi mpaka matakoni lipo hapa linaogopa Kingereza?

Kuku wa maziwa wewe!
Hahaha! nakuuliza kwa mara ya mwisho upo tayari kwa matusi ?
Hapa ndo nyumbani kwa lugha hizo.
Nasubiri hapa hapa na tutakesha kwa kutukanana tu.
 
Unaona sasa?

Yote hii ni fear ya lugha ya English

Yeah,kujua Kingereza sio kwamba nina akili sana ila na wewe kujua Kiswahili hakukufanyi uwe na akili either!

Na hii tabia mbovu ya kuogopa English ni ya hovyo sana,sijui ulienda shule miaka 14 mpaka Chuo Kikuu kusomea mavi?

Jitu zima lina mvi mpaka matakoni lipo hapa linaogopa Kingereza?

Kuku wa maziwa wewe!
Hakuna aneogopa english hapa, bali nimeisha kusoma mara nyingi unapenda kutoa kashfa kwa hiyo lugha humu ndani.

Na kwa tathimini yangu unapotoa kashfa zako ni kutaka kuwaaminisha wasomaji humu kuwa una elimu kubwa sana kudhidi hata wasomaji wenyewe.
Kwani mara nyingi unawatusi waliokuwa wanamkubali Magufuli kuwa hawana elimu.
 
Msukuma aache kelele akae akijua maji ya moto hayaunguzi nyumba

Kwahiyo Kisa alimteua mkewe Diallo ndio akikosea asisemwe

CCM Kuna nyumbu hawajitambui

Kwahiyo ndio maana mlikua kimya Kwa maovu yake jiwe kisa tu aliwapa teuzi?

Yaani napata hofu watu dizaini ya Msukuma ataweza agongewe mkewe na akakaa kimya kisa tu kapata teuzi

Daaaaa kichekesho!
Kuna watu wamepewa ulaji na Mbowe hawathubutu kumkosoa

Ndio waafrika tulivyo usiwashangae wanaccm ambao walikaa kimya kwa kuwa kuna nafasi wameteuliwa
 
Peleka mtoto shule apate elimu msukuma ni mjinga,yaani magufuli asisemwe ye ni nani ,
 
Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.

Musukuma amesema Hayati Magufuli alimsaidia Diallo pale Star Tv ilipofungiwa na TRA na pia alimteua mke wake kuwa mkurugenzi wa wilaya.

Musukuma ameenda mbali zaidi kwa kusema Hayati Magufuli ameifanyia makubwa Kanda ya Ziwa ikiwemo daraja refu kuliko yote Afrika la Kagongo Busisi, ujenzi wa meli mpya, ujenzi wa viwanda vya dhahabu na SGR kutoka Mwanza hadi Isaka.

Msukuma ni chawa tu pumbavu kabisa
 
Hahahaaaa

Wewe nani kakwambia mtu akiongea Kingereza ndio kasoma zaidi ya wanadamu wengine?

Mbona hii tabia ya kujiona inferior mnayo sana wajinga wote mnao-subscribe kwenye dhana ya kipumbavu kabisa ya Magufulism?

Kwa kifupi ni kwamba,Magufuli na Magufulism ni ujinga na upumbavu juu ya upumbavu...ndio maana wananchi wameikataa hii dhana,fanya sensa leo uone!

Wanao mshabikia Magufuli wote wana IQ ndogo wewe included na hiyo ni FACT!
Sasa na mimi nimo sasa wewe mwenye akili kubwa umeisaidia nn jamii yako ?

Hata wazazi wako wanaweza kuwa wanajiraumu kwa nini walikizaa, na kukusomesha St. Marys.

Wewe mjinga kama ujinga wenyewe huna lolote la kusema unawazidi mashabiki wa Magu.

Mtoto wa mbwa jike wewe.
 
Mwenyekiti wenu ana faili wapi?anakunywa hadi anaporomoka kwenye ngazi

2842890_1626271565107.png
 
Support nyingi sana kwa msukuma.

Back
Top Bottom