Musukuma: Maprofesa wanatuchanganya; wakati wa Magufuli walisema hakuna Corona na wakati huu wa Samia wanasema tuchanjwe

Mbunge wa Geita Vijijini mh Joseph Kasheku aka Msukuma amesema Maprofesa wa Tanzania wanafeli sana na hii inasikitisha ndio maana aliwaripua bungeni.

Msukuma amesema kwa mfano tafiti za Corona zilizofanywa na maprofesa wakati wa hayati Magufuli wakitumia mapapai mbuzi, sungura, mafenesi na oil ilionyesha Tanzania hakuna Corona lakini alipoingia Rais Samia maprofesa walewale wameshauri tuanze kuchomwa " masindano" na kuvaa mabarakoa.

Msukuma anajiuliza hawa maprofesa wetu wamesoma kweli?

Msukuma amemshauri Rais Samia kutumia wanasayansi wa nje kama anaona hawa wa kwetu wamejaa longo longo.

Chanzo: Clouds Digital
Msukuma uko sawa kabisa hao ni sawa na kina kabudi wameweka maslahi yao mbele kuliko taaluma zao wameokotwa majalalani wanafuata upepo unapoelekea.
 
Huyu muheshimiwa Msukuma yaani kila anapotoa hoja haachi kabisa kuwadhihaki wana taaluma sijui kana kwamba walimkosea nini au wao ndio walikuwa namemzuia asisome?

Hakuna Professor hata mmoja aliyesema hakuna korona na wala hakuna Daktari yoyote aliyesema hayo kwanza hakukuwa na platform ya kufanya hivyo.

Ushauri tuu kwa Msukuma basi huna budi kupeleka watoto shule
Hivi wewe ndugu yangu unawaonaje hawa viongozi wetu wasomi? Tena hasa ktk awamu ya 5! Hauwadharau kweli?
 
Msukuma chunga mdomo wako kwa sasa rais ni Samia,ukiendelea kuropoka 2025 sio mbali jina halirudi si unajua mwenyekiti wa chama ni nani?
 
Hawa maprofesa wanganga njaa lazima waauze utu wao na taaluma yao maana shida yao kubwa sio taaluma bali ni tumbo hata mi naona wanatuyumbisha tu hawaeleweki.
 
Msukuma ni mfano mzuri wa maskini kufurahia madhila yanapowafika matajiri typical inferior..kuwasodoa wasomi yeye anafarijika sawa kabisa na wale walio kuwa wakishangilia magufuli akinyanyasa wenzake either waliomzidi kipato au kukubalika na jamii.
 
Utafiti mwepesii kabisa ambao hata mtoto anaukubali ni kuona vifo sababu ya korona. Sasa nikuulize wewe, Tanzania hakuna mtu hata mmoja aliyekufa na korona?
Mkuu, sina kipaji kizuri sana na muda wangu haunirusu kujibu swali lako. Samahani lakini.
Ninaomba Professional Researchers wajibu hoja yangu.
Samahani lakini. Mchanamwema.
 
Huyu msomi wa STD vii siyo pekee yake anayewashangaa wapo wengi tunawasibiri akina Dorothy, Kabudi, Ndugai, Tulia n.k. kwamba Hawa ni kweli walitumia usomi wao au ilikuwa ni Bora liende
Ukweli upo wazi walikuwa wanamtumikia Kafiri Magufuli wapate Mradi wao Sasa wamerudi kwenye ubora wao!Maisha yannasonga....
 
Mku sema tu hujaenda kupima, lakini ukipima tu utakutwa nayo!!!!!!
Kwa nini hupimwi? Una korona umekufa? Nani alkuambia chanjo inatibu korona? . Kama hujui unakaa kimya kisha uanfanya tafiti kama chanjo inatibu wla kuzuia korona. Mbona hulalamiki kuishi na malaria?

Angalia hapa.Kama hujui kiingereza kitu ambacho ninadhani, tafuta mtu akufafanulie ili uone namna Shelisheli walivyochanja asilimia kubwa ya raia wao namna sasa wanavyoogelea kwenye mlipuko wa korona.

Mbunge wa Geita Vijijini mh Joseph Kasheku aka Msukuma amesema Maprofesa wa Tanzania wanafeli sana na hii inasikitisha ndio maana aliwaripua bungeni.

Msukuma amesema kwa mfano tafiti za Corona zilizofanywa na maprofesa wakati wa hayati Magufuli wakitumia mapapai mbuzi, sungura, mafenesi na oil ilionyesha Tanzania hakuna Corona lakini alipoingia Rais Samia maprofesa walewale wameshauri tuanze kuchomwa " masindano" na kuvaa mabarakoa.

Msukuma anajiuliza hawa maprofesa wetu wamesoma kweli?

Msukuma amemshauri Rais Samia kutumia wanasayansi wa nje kama anaona hawa wa kwetu wamejaa longo longo.

Chanzo: Clouds Digital

Ningemuona wa maana mbunge huyu kama angeleta pendekezo la serikali iliyopita kufikishwa mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai kwa kusababisha mauaji ya kimbari kutokana na kupuuzia ugonjw wa Corona na hivyo kusababisha watu kupoteza maisha.

Msukuma ajue kwa sasa Watanzania hawataki upuuzi, kama yeye anautaka basi awapelekee wapuuzi wenzake., HATUDANGANYIKI.
 
Naona unasema uongo. Lazima utakuwa na ndugu wa umri mkubwa au wenye matatizo mengine ya afya waliokufa kwa korona ila wote kama sisi wenzako mkaficha vichwa mchangani kwa kumuogopa Magufuli. Na wale wakubwa serikalini mwaka jana na mwaka huu je?

Sasa Magufuli hayupo. Kama wanamtukana hadharani wanashindwa nini kutoa takwimu za wagonjwa wa Korona? Tunataka tawkimu ndipo tufanye uchambuzi.

Nani alikuambia kuchanjwa kunazuia korona?

Angalia case za chile na ushelisheli nakupa references hizi mbili ili hapa ili uamue kushabikia hii biashara mauti ama umshukuru Mungu.

Acheni kuropoka ropoka kwa mikumbo utadhani mnatumia masikio kufikiri badala ya kichwa. Hope umeona kinachoendelea duniani na sasa hautachukuliwa na ulafi wa wafanyabiashara wa mizoga ili ufe kwa maslahi yao binafsi.

Tunakukumbuka Magufuli.
 
Mbunge wa Geita Vijijini mh Joseph Kasheku aka Msukuma amesema Maprofesa wa Tanzania wanafeli sana na hii inasikitisha ndio maana aliwaripua bungeni.

Msukuma amesema kwa mfano tafiti za Corona zilizofanywa na maprofesa wakati wa hayati Magufuli wakitumia mapapai mbuzi, sungura, mafenesi na oil ilionyesha Tanzania hakuna Corona lakini alipoingia Rais Samia maprofesa walewale wameshauri tuanze kuchomwa " masindano" na kuvaa mabarakoa.

Msukuma anajiuliza hawa maprofesa wetu wamesoma kweli?

Msukuma amemshauri Rais Samia kutumia wanasayansi wa nje kama anaona hawa wa kwetu wamejaa longo longo.

Chanzo: Clouds Digital
Unaweza kua na pesa Kama Msukuma ila bado Kama huna elim ni KAZI bure, hivi uyu mbunge amewahi tembelea hosp za jimboni kwake na kujiridhisha kwamba korona hamna?! Au propaganda za mwendazake ndo Bado ziko kichwani mwake tu kwamba corona haipo ,mh Msukuma nakueshim, na michango yako iko vizuri ila la corona wachemka mkuu
 
Form seven ni Shida, yaani yeye anadhani kipindi cha utawala ULE yale maamuzi ya kupinga na Kuficha kuwa Corona haikuwepo yanaweza ku-hold water kwa kiongozi wa sasa mwenye Maono (uongozi sikivu).

Hivi ni kweli huyo form Seven hajui hasara ya kupoteza wapendwa wetu kwa Maamuzi ya ajabu ajabu. Mimi Ilikuja kunizidishia machungu na niliuchukia utawala ule zaidi tena Zaidi pale tu Dada yangu Daktari alipofariki kwa corona and was the only Dr in our family. Baba alikuwa anatuambia alimsomesha kwa gharama kubwa.

Tumwombe tu huyo form seven hasiturudishe matesoni,kwani maamuzi ya uongozi wa sasa kuhusu Corona (task force ya kumshauri SSH kuhusu Corona) ni sahihi na yaheshimiwe.

Anachojifanya hajui ni kuwa, Watawala uliopita Ulikuwa unaogopwa, ulikuwa utawala wa YES BOSS or ONE MAN SHOW kila alichokisema mtawala ndicho wasaidizi wake walikitenda na kutuaminisha kuwa tuko sahihi ili mradi tu Maisha na familia zao vilineemeka na utawala ule.
Pole sana kwa Msiba wa dada Dr, ila sometimes tuwe tunakubaliana na hali ilivyo , as i know mambo mengine unamwachia Mungu.

Sina hakika na hatuna proof yoyote kwamba watu wanaofariki huko duniani kwa COVID -19 vifo vyao vimesababishwa na serikali zao.
 
Back
Top Bottom