SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,756
Nakumbuka ile video yake akingonoka uno mbili tu chali na miguno kibao kama mbwaBonge la mshamba
Nakumbuka ile video yake akingonoka uno mbili tu chali na miguno kibao kama mbwaBonge la mshamba
Wewe Panyabuku umekuja kufanya nini?Thread ya kindezi.
Hafai kuwaongoza watu huyoNakumbuka ile video yake akingonoka uno mbili tu chali na miguno kibao kama mbwa
Akili ya Msukuma unaiamini?Kwa mara ya Kwanza tunashuhudia watu wakimlinda aliyekuwa Rais wa nchi kiongozi wa umma asizungumziwe. Tulishuhudia akina Christopher Mtikila RIP wakimsema vibaya Mwl. Nyerere RIP bila watu wa Musoma na Butiama kuwajia juu wale wanaomsema mtoto wao, baba Yao na mtu wao. Mbona safari ni tofauti sana kwa JPM?
Katika nchi ya kidemokrasia kama yetu kumsema mtu aliyekuwa kiongozi wa umma ni sehemu ya demokrasia yetu. Mpaka Leo wanasemwa akina Hitler lakini sio kweli kwamba Hitler hakufanya kitu kizuri hata kimoja kwa wajerumani. Watu wanamsema idd Amini lakini sio kweli kwamba Amini hakufanya jema hata moja kwa waganda. Mobutu, Banda, nk hivyohivyo.
Mbona ni haramu safari hii kusema ubaya wa JPM kama ulikuwepo?
Hizi ni dalili mbaya kwa taifa ambazo taifa ingezipata kama JPM angeendelea kubaki madarakani. Demokrasia ilifutwa awamu ya Tano na Kuna dalili kuwa makubwa yalikuwa yalifike taifa kwenye nyanja ya demokrasia. Musukuma na wenzake huenda walikuwa wanafahamu nini kilikuwa kinaenda kutokea.
Kama JPM alifanya mazuri matupu wacha wale walioyaona hayo mazuri matupu wawapuuze ambao wanaomsema vibaya JPM, kwanini wawe waliokuwa rafiki zake ndio wazuie waliotendewa vibaya wasiseme?
Huu ni ushamba, ulimbukeni na udikteta katika uongozi. Wanataka kuitia kwapani demokrasia yetu.
Mazuri na mabaya yote yalikuwepo, mabaya tuyazungemze hadharani ili yasirudiwe na watawala wajao. Hata Hitler wanazungumzia mabaya yake ili fundisho kwa vizazi vijavyo.
Uliona wapi,msukuma akiwa usukumani akajiita msukuma,hawa watu siyo wa Tanzania,wamejipachika TU kwenye kabila kubwa.Kinachomtesa huyo Msukuma ni huo Usukuma wake tu! Hakuna kingine.
Jiwe mabaya yanamwandamaKwa mara ya Kwanza tunashuhudia watu wakimlinda aliyekuwa Rais wa nchi kiongozi wa umma asizungumziwe. Tulishuhudia akina Christopher Mtikila RIP wakimsema vibaya Mwl. Nyerere RIP bila watu wa Musoma na Butiama kuwajia juu wale wanaomsema mtoto wao, baba Yao na mtu wao. Mbona safari ni tofauti sana kwa JPM?
Katika nchi ya kidemokrasia kama yetu kumsema mtu aliyekuwa kiongozi wa umma ni sehemu ya demokrasia yetu. Mpaka Leo wanasemwa akina Hitler lakini sio kweli kwamba Hitler hakufanya kitu kizuri hata kimoja kwa wajerumani. Watu wanamsema idd Amini lakini sio kweli kwamba Amini hakufanya jema hata moja kwa waganda. Mobutu, Banda, nk hivyohivyo.
Mbona ni haramu safari hii kusema ubaya wa JPM kama ulikuwepo?
Hizi ni dalili mbaya kwa taifa ambazo taifa ingezipata kama JPM angeendelea kubaki madarakani. Demokrasia ilifutwa awamu ya Tano na Kuna dalili kuwa makubwa yalikuwa yalifike taifa kwenye nyanja ya demokrasia. Musukuma na wenzake huenda walikuwa wanafahamu nini kilikuwa kinaenda kutokea.
Kama JPM alifanya mazuri matupu wacha wale walioyaona hayo mazuri matupu wawapuuze ambao wanaomsema vibaya JPM, kwanini wawe waliokuwa rafiki zake ndio wazuie waliotendewa vibaya wasiseme?
Huu ni ushamba, ulimbukeni na udikteta katika uongozi. Wanataka kuitia kwapani demokrasia yetu.
Mazuri na mabaya yote yalikuwepo, mabaya tuyazungemze hadharani ili yasirudiwe na watawala wajao. Hata Hitler wanazungumzia mabaya yake ili fundisho kwa vizazi vijavyo.
Asisemwe Kwani yee nani bhana..??
Jitu lilikuwa kichaa kabisa mpaka watoto wadogo wanajua nchi ilikuwa inaongozwa na mwendawazimu.
Mfano, Awamu ya Tano walizuka wanaharakati wa kujitegemea waliokuwa wanawaandama watu na kuwatukana watu wenye maoni tofauti, jambo ambalo halikuwepo kwenye awamu zote. Je, akina Musukuma ni mwendelezo wa wanaharakati wale part two? Je, watu wale wanafaa kuigwa na watawala wengine? mbona wamepotea ghafla kwenye awamu ya sita?Asemwe ili watu wajue ubaya haulipi!
Ajabu. HIvi wewe kiumbe una akili ya kujua akili? Pumbavu sana.Akili ya Msukuma unaiamini?
Mungu mtu, hata Mungu kuna wakati watu wanamlaumu kama mambo yao yakienda ndivyosivyo. hatari kubwa iliyokuwa ikitunyemelea ni:Ajabu. HIvi wewe kiumbe una akili ya kujua akili? Pumbavu sana.
Tusikubali Ukabila hapa TanzaniaKwa mara ya Kwanza tunashuhudia watu wakimlinda aliyekuwa Rais wa nchi kiongozi wa umma asizungumziwe. Tulishuhudia akina Christopher Mtikila RIP wakimsema vibaya Mwl. Nyerere RIP bila watu wa Musoma na Butiama kuwajia juu wale wanaomsema mtoto wao, baba Yao na mtu wao. Mbona safari hii ni tofauti sana kwa JPM?
Katika nchi ya kidemokrasia kama yetu kumsema mtu aliyekuwa kiongozi wa umma ni sehemu ya demokrasia yetu. Mpaka Leo wanasemwa akina Hitler lakini sio kweli kwamba Hitler hakufanya kitu kizuri hata kimoja kwa wajerumani. Watu wanamsema idd Amini lakini sio kweli kwamba Amini hakufanya jema hata moja kwa waganda. Mobutu, Banda, nk hivyohivyo.
Mbona ni haramu safari hii kusema ubaya wa JPM kama ulikuwepo na waliouona ubaya huo wapo?
Hizi ni dalili mbaya kwa taifa ambazo taifa lingezipata kama JPM angeendelea kubaki madarakani. Demokrasia ilifutwa awamu ya Tano, na Kuna dalili kuwa huenda makubwa yalikuwa yalifike taifa kwenye nyanja ya demokrasia. Musukuma na wenzake huenda walikuwa wanafahamu nini kilikuwa kinaenda kutokea kwenye demokrasia yetu.
Kama JPM alifanya mazuri matupu wacha wale walioyaona hayo mazuri matupu wawapuuze ambao wanamsema vibaya JPM, kwanini waliokuwa rafiki zake ndio wazuie waliotendewa vibaya wasiseme?
Huu ni ushamba, ulimbukeni na udikteta katika uongozi. Wanataka kuitia kwapani demokrasia yetu. Tusiruhusu upuuuzi huu uote mizizi na kukomaa kwenye taifa letu.
Mazuri na mabaya yote yalikuwepo, mabaya tuyazungemze hadharani ili yasirudiwe na watawala wajao. Hata Hitler wanazungumzia mabaya yake ili fundisho kwa vizazi vijavyo.
Taifa liwe huru watu kutoa tathimini zao katika kila mwisho wa awamu kwa lengo la kuboresha ambayo hayakutugurahisha na yaliyotuumiza kama taifa ili yasirudiwe tena.