Mustapha Sabodo Atoa Rambirambi Kwa Wahanga Wa Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mustapha Sabodo Atoa Rambirambi Kwa Wahanga Wa Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Jan 13, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mustapha Sabodo mfanya biashara mwenye asili ya kiasia ametoa msaada wa kiasi cha Sh 5milioni kwa familia ya Ismail na kiasi hichohicho kwa familia ya Denis na mazishi ya Denis Rombo ndio yanaanza leo! hii yote ni kutokana na vifo visivyo na hatia vilivyotokea mkoani Arusha siku ya maandamano ya wanachadema! Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Amina.:pray2:
   
 2. Ngoreme

  Ngoreme Senior Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu akuzidishie sabado
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,902
  Likes Received: 12,043
  Trophy Points: 280
  Shukrani Sabodo angalau zako zinarudi kwa wananchi za Rostam huwa anazipeleka Iran.
   
 4. K

  Kiwete JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Wasiwasi wangu mkwere alivyo na visasi anaweza kudai jamaa si raia wa TZ ila ni M-tamil wa Sri Lanka.Kumbuka Ulimwengu nk.
   
 5. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wakati wengine wakitoa rambirambi kwa wafia ccm mkoa wa arusha jana walikuwa kwenye sherehe za kumpongeza meya,,,kweli hiki chama kinarudi nyuma,shame on thewm
   
 6. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  sebodo ni mzalendo, anaejua ccm ni wafa maji tuu.
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Tunataka wananchi wenye moyo wakujitolea kama Sabodo na CCM wakae wakijua kua upinzani sio uadui bali ni demokrasia ya ukweli kwa wananchi wenye kutaka mabadiliko ndani ya nnchi yao! Tutazidi kukuombea Mustapha Sabodo Mola akuzidishie :pray:
   
 8. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Mungu amzidishie jamani.
   
 9. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mungu amzidishie pia na ss atukumbuke.
   
Loading...