Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia.

Kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire.

IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
#kwaheriMengi*
#IcanImustIwill
 
Nashauri IPP Media iendelee kuwa chini ya usimamizi wa Joyce Mhaville naamini amekuwa akiipatia na ataipatia...kwa upande wa kusimamia empire ya IPP group of companies nadhani mwanae wa kike Regina anaweza kusimamia hii empire...IPP Companies ni kampuni ya kizawa ambayo imewanufaisha sana watanzania...hatutamani kusikia inadorora baada ya Mzee wetu kutangulia.
Nayeye akifa?
 
Inategemea na corporate governance ilivyo IPP. Mfano ni nani mwenye umiliki mkubwa wa hayo makampuni na je mzee alimuandika nani mrithi wa hayo makampuni? Je zile love davyy za bibie zilimaanisha kilikuwa kipindi cha kuandika wosia/urithi? Hili ni suala gumu kulizungumzia kwa sasa
 
Bonge la pigo,hata messi akiondoka barca bado itakuwepo
1556790525248.gif

R.I.P Mzee
 
acha kukariri mkuu. umeshaambiwa Joyce Mhavile ni namba nyingine katika utendaji, ebu anzia hapo basi kunanga uwezo wa mwanamke mqana hata nikutoa nje ya hapo haitaelewa maana uelewa wako umefumbwa na mitazamo ya kizamani
Apewe wa kiume. Unampaje mali mtoto wa kike japo watoto wake hawana shobo kabisa mjini.
 
Back
Top Bottom