Mustafa Mkulo fisadi wa kwanza

Godee jr

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,782
2,373
Habari za jioni wanajf, hatimae jioni hii kutoka bungeni Dodoma Mh Vicent Nyerere ametaja majina ya kampuni za nje za kukagua magari ambazo wamiliki wake wote ni Watanzania hivyo kuthibitisha kauli yake Waziri alilidanganya bunge:
Kwa upande mwingine Mh Deo Filikunjome amemtaja Mh Mkulo kuwa ni moja kati ya mawaziri ambao ni wezi na wahongo na ndio maana aliivunja CHC ili kuficha wizi alioufanya katika kuuza mali za serikali.
Sasa hivi ndio mawaziri wanaanza kujibu hoja za wabunge
 
Back
Top Bottom